Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe


IMG_20210715_134548.jpg
 
zile za jana za hyundai nimeelewa kama
  • 10 units of EMU
  • 17 vichwa vya umeme vya trains (bila behewa/wagons)??!

hizi nyingine 42 ni nn? vichwa na behewa au? someone, explain pls!
afu kwann hizi kampuni hazitajwi
Sasa ndio ujiulize mbona model pia hawataji
 
Ni kilometer ngapi kutoka cbd
Kutoka CBd kwenda ngara ni 2.4km
Kutoka CBD kwenda kariakoo ni 3.3km

Kuyoka CbD kwenda upperhill ni 4km
Kutoka CBd kwenda wetsland ni 3km

Haya niambie wewe which is which 🤣🤣🤣

Tunashindana nn mm na wewe hapa
 
Wadau, leo tunaambiwa Kariakoo hapo cbd! Nataka tu kujua kariakor hadi 'cbd' no kilometer ngapi?
images (46).jpeg
 
swali tu ni moja. sioni ubaya yoyote na mwembe tayari. mombasa itawauma sana. nilikwambia jana na ntazidi kukuambia kula carrot mingi. naona macho yako iko shida
Hio ni video ya 2weeks ago 😂😂😂
 
Back
Top Bottom