ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Haya oneni hii chizi 🤣🤣🤣🤣
Haya oneni hii chizi 🤣🤣🤣🤣
Nioneshe machakos county na machakos town 😂😂😂😂😂😂There is a difference between machakos town and machakos county
Uhunye atapata tabu sana maana wananchi wake watamnanga ile mbaya. Yaani aliwaminisha watapata bullet, akawaletea mtungi wa chang'aaHiyo siku wakiona hivi vitu vinaingia Tanzania watavaa chupi kichwani, wanaweza kwenda kumuua kunyata
View attachment 1854468
Basi shida ni nini?Aliekwambia Tanzania nchi nzima hazijachimbiwa fibre optic cable ni nani? Zipo kila mkoa kila wilaya.
Nani amesema si ppp?Alaf wamedanganywa na jubilee express way ni ppp😂😂
Inatakiwa ziwahi kabla hawajaingia kwenye uchaguzi ili wapate hasira zaidiHiyo siku wakiona hivi vitu vinaingia Tanzania watavaa chupi kichwani, wanaweza kwenda kumuua kunyata
View attachment 1854468



Mingi sana but the issue is how does that matter? Area if coverage depends with the camera and distance and positionSasa mm nadanganya au 😅😅😂😂👇👇 sehemu gani hapa haijaonekana nairobi
District zote za Dar ndani ya hio picha. 😂😂😂Sasa mm nadanganya au 😅😅😂😂👇👇 sehemu gani hapa haijaonekana nairobi
say Lusematic not lunaticSoftie turned preacherare you luse or lunatic??
duuh!!! hii kaliA BUNCH OF CLOWNSor is it scooby and the terrified gang!
bongolala cartoonsView attachment 1853945View attachment 1853936
noma ngoma tumeuwa kinguni wa kikenyaMzigo huu hapa
View attachment 1853937
Cargo
View attachment 1853939
Passenger
View attachment 1853940
Haya oneni hii chizi 🤣🤣🤣🤣
So you want to say tz has faster internet or what??? Am not understanding you hereThe screenshots you posted here several times before prove that you don't have 5G, your computer is literally gasping for air, just to get those pixels right.
This kariakoo ama gani?Kariakoo alone ni sawa uchukue westland jumlisha upper hii jumlisha CBD yenu jumlisha hio ushuzi unaitwa ngara hamuipati hata nusu ya kariakoo 🤣🤣🤣
Sasa Kariakoo mahali penye unavuka barabara umeingia posta. Kariakoo ni kama dowtown huko Riveroad Nairobi na Kamkunji.Kariakoo alone ni sawa uchukue westland jumlisha upper hii jumlisha CBD yenu jumlisha hio ushuzi unaitwa ngara hamuipati hata nusu ya kariakoo 🤣🤣🤣
Dar districts zote zina converge hapo karibu na CBD. Ukiwa ubungo uchukue drone shot unaona skyline yote hadi hizo ghorofa kidogo kando ya morogoro road na bagamoyo road. Dar cluster iko ilala pekee hata magufuli alikua anajua hio.Sasa mm nadanganya au 😅😅😂😂👇👇 sehemu gani hapa haijaonekana nairobi