Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣👇👇👇 ukipata sehemu wameandika dollar tatu kwa siku nitag


Si mara yako ya kwanza kuleta links ambazo hujui zinazungumzia nini. Hii ujinga utawacha lini na uerevuke?
 
View attachment 1851125
That's the official website of FIFA and in their ranking they've partnered with Coca Cala as part of the latter's marketing strategy. Unajua ni kwa nini uwanja wa mpira wa Arsenal inaitwa Emirates? Na unajua ni kwa nini ligi ya Uingereza inaitwa Barclays Premier League? Na ni kwa nini ya SA inaitwa ABSA Premier League? You don't know so much yet you claim to know everything!
Mbona unachanua fala, ungewacha akule tu aibu yake pekee yake.
 
Sisi tuna pesa na ndiyo maana michezo kama kukimbia kimbia hatuwezi ila tuna uwanja wa kisasa ku host big competition, nyie ni maskini wa kutupa licha ya wanambio wenu kufanya vizuri lkn mnashindwa kuwawekea mazingira mazuri

Nchi ya kifukara bhn, mfano cc mpira pia hatujui ila tuna pesa ya kuwa na timu tajiri ukanda huu kufanya kuwa Europe ya wachezaji wa East and Central Africa

Pesa co shida Tz na ndiyo maana tulipoamua tu ndani ya miaka 10 tu ilitosha kuadabisha nchi zote ukanda huu kwa kuleta vitu modern

Medali zote ni za mchezo wa kitumwa
Blablabla pesa sio,na hakuna medali🙈Gor haina Basi Kama ya Yanga Lakini hamwatoi kwenye game!!!alaa! Shida Ni Nini😢🤣🤣🤣
 
Hio simba na yanga inatengeneza revenue kuliko team zote za kenya combined na kama unabisha sema??🤣🤣

nioneshe banda la choo ambalo gor mahia inatumia kama ofisi ukipata nitag nifunge acc 😂😂😂😂
Ata Kama Gor haina facilities Kama za yanga,hamtawai watoa kwenye Game😢Leo nacheka mpaka neighbour akuje mazishi🤣🤣🤣🤣
 
Kukimbia tu mbn hatuwezi cc

Cc co watumwa bhn, na haupo kwenye vichwa vyetu mchezo huo, mpira pia hatujui ila nguvu ya pesa inafanya tuwe na ligi bora, viwanja vya kisasa, coverage ya kuvutia etc na ndiyo maana mchezaji wa Tanzania anaishi maisha ya kitajiri sn, labda kwenye ndondi hapo naweza sema huo mchezo tunaujua lkn michezo mingine yootee hatujui lkn sasa pesa bhn
mpaka kwenye Dondi hamtuwezi,ata mkileta wale wavunja mawe wenu😢Kwa mpira tumewazoea Team Zenu Zina facilities Ila zinawaibisha kabisa hakuna magoli🙈Mpaka Nakumbuka Maghufuli alivyokuwa akiteta Sana,Ni Nini hamna
 
Kwa hivyo Marekani ambayo ndio huwa inaongoza jedwali ya medali pia ni nchi fukara just because they are doing good in sports? What bout Russia that does equally good at the Olympics? Wao pia ni fukara? Hizi vijisababu mtaacha lini?

Unaongea kuhusu umasikini unasahau Tanzania ndio nchi fukara zaidi kushinda nchi zote hapa EA? Mbona mnasahau haraka hivyo?
kawaida kenye hawawezi na mwenzao anaweza wanapenda kukitusi,Sjui tuiite wivu ama🙈
 
Siku ukinionesha nchi yoyote duniani yenye electrified SGR, BRT system, 3level interchange, na inalisha jirani zake alafu bado ikawa maskini just tag me

FYI, nchi yoyote duniani isiyokuwa na hizo infrastructures basi juwa kwamba hyo nchi ni ya kizamani mno hata wewe unajua hilo
 
And still they are LDC country,3/4 Dar City with no planning at all,footballers with best facilities"As they say"with no goals and an abusive Country (They call other countries that are ahead of them Bad Names,like Nyagau🙈)
 
And Not to forget the only Country without Corona"As they say"And yet their president has proved there is⚰️What an island😢🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom