Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] What are they doing with their Wealth [emoji1787].

Wealthiest city, Super rich City, Capitalist City , Hustlers Paradise [emoji1787].
Labda paradise ya nguruwe sio binaadamu 🤣🤣🤣🤣
 
suliza roho yako naona unawahka sana 😂😂 umeumia sana kuskia tanzania inashiriki olympic??

Siku ukinionesha nchi yoyote duniani yenye electrified SGR, BRT system, 3level interchange, na inalisha jirani zake alafu bado ikawa maskini just tag me [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

FYI, nchi yoyote duniani isiyokuwa na hizo infrastructures basi juwa kwamba hyo nchi ni ya kizamani mno hata wewe unajua hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania is among the 25 poorest countries in the world.
 
Nchi yoyote duniani isiyokuwa na hii kitu basi hio nchi ni ya kale sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1966286991.jpg
JamiiForums1477327967.jpg
 
Nchi gani Tajiri inaweza kuwa Hivi? Hata kumwagilia maji wapande maua wafanane na wanachosema ni shida. Halafu hilo Vumbi linalovamia lami ndio Tupical Broken streets of the Third World , What a loss.
So all of a sudden mmkekuwa fans wa green spaces? 😆😆😆

Anza kwa kumwaga maji na kupanda maua hapa 👇 kwanza, we already have enough green spaces in Nairobi
2827394_1625233813401.png
 
Nimemwambia tu ukweli.[emoji1787][emoji1787]
Wewe na mipesa yako ile ilikufikisha wapi wkt huna kibanda hata cha urithi kazi kulalamika oohh Nairobi maisha magumu, oohh Nairobi huwezi kununua uwanja, ss unataka cc tukununulie? Mlaumu babu yako kujikuta kazaliwa kenya na hakufanya jitihada za kuhama hiyo cursed country [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom