Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee wa mipesa

Fukara sana we jamaa, na kama ungekuwa unajiweza haya majina mabovu ninayokupa ungeshayapinga jinc ulivyo na mdomo mpana ila ndio hivyo tena huwezi juu ufukara ulivyokugubika
That's why I thank my God every morning and Night for blessing me and my Country,Gai🙏Yani TZ mngekuwa mbele ya Kenya kiuchumi Aki walai Sjui mngetufanya Nini🙈🏃🏃🏃
 
Au ni waongo hawa🤣🤣👇👇👇

look at wat they post on their National news papers and on their National TVs,just a stupid post from a stupid blogger and they believe it true,Most of Bongolalaz have no Dignity,munaezaje Amini iyo post!!!!!!🤔🙄
 
mpaka kwenye Dondi hamtuwezi,ata mkileta wale wavunja mawe wenu😢Kwa mpira tumewazoea Team Zenu Zina facilities Ila zinawaibisha kabisa hakuna magoli🙈Mpaka Nakumbuka Maghufuli alivyokuwa akiteta Sana,Ni Nini hamna
Njoo hapa, hii ni ndondi unayozungumzia, kenya vs Tz 😂😂😂 play kuanzia dakika 5:40s umskilize mkenya mwenzako upuuzi anaongea I😂😂😂 Nyie mnatuzidi kukimbia mbia za riadha tu .. tz is EA's home of talents
 
Barabara za kunyaland

Screenshot_20210704-012631_Chrome.jpg


Screenshot_20210709-113848_Photos.jpg
 
When others are investing in witchcraft, Kenya inainvest kwa sports😂😂😂.


View attachment 1851110View attachment 1851111View attachment 1851112
Hajulikani hata mmoja hapo, nenda kwenye youtube yako ukikosa video za watanzania 10 zipo trending Kunyaland njoo uniambie

Alikiba yupo Kunyaland anaondoka na pesa mara 10 za hao wakimbiahovyo wenu bila kukimbia kama kichaa, yeye anasema tu yoyoyoyo mnampa pesa zote mlizonazo sasa nani mjanja? 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom