Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo ndio jiji wanafananisha na kisumu hahahhaa enhhh Mungu saidia waja wako
 
When others are investing in witchcraft, Kenya inainvest kwa sports😂😂😂.

IMG_20210712_234051.jpg
IMG_20210712_233827.jpg
IMG_20210712_233408.jpg
 
Hvi sabasaba kenya mulikua munaonesha nn?? Kende za kondoo au??😂😂😂

jifunzeni kidogo 👇👇👇
 
Wewe na mipesa yako ile ilikufikisha wapi wkt huna kibanda hata cha urithi kazi kulalamika oohh Nairobi maisha magumu, oohh Nairobi huwezi kununua uwanja, ss unataka cc tukununulie? Mlaumu babu yako kujikuta kazaliwa kenya na hakufanya jitihada za kuhama hiyo cursed country [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe endelea kuhawk korosho pole pole🤣😂🤣
 
Wewe endelea kuhawk korosho[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Mzee wa mipesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Fukara sana we jamaa, na kama ungekuwa unajiweza haya majina mabovu ninayokupa ungeshayapinga jinc ulivyo na mdomo mpana ila ndio hivyo tena huwezi juu ufukara ulivyokugubika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekuambia endelea kuhawk korosho pole pole ukifiria venye at least mtapanda juu ya Uganda kwa development index.

IMG_20210712_220639.jpg
 
Siku ukinionesha nchi yoyote duniani yenye electrified SGR, BRT system, 3level interchange, na inalisha jirani zake alafu bado ikawa maskini just tag me [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

FYI, nchi yoyote duniani isiyokuwa na hizo infrastructures basi juwa kwamba hyo nchi ni ya kizamani mno hata wewe unajua hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hii hapa
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Au ni waongo hawa🤣🤣👇👇👇

Back
Top Bottom