Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa compare Hawa na wale wenu wanafanana na chokoraa wa kawangware😂😂😂

#Team Kenya.

View attachment 1850998View attachment 1850999View attachment 1851000View attachment 1851002View attachment 1851003
68F3B474-1ECD-4558-9E68-F3A85DD05A0B.jpeg
F6478740-C2FC-4BA8-88E4-7806BF153D75.jpeg
F774CD94-6CAE-49A9-A256-BB1A137E48D8.jpeg
95095458-A1BB-4D57-A921-F51C6739BCD7.jpeg
3203E8DA-0F89-4249-8FEB-01C51DDCE6E6.jpeg
DF93B756-9103-49DA-81E1-C930DFED5C51.jpeg
262AA848-484E-47A3-AA27-6D060F21D8D9.jpeg
127FC611-FF78-44C7-AD57-8AC9A6E446B7.jpeg
9F572369-4E99-40F9-ABBE-49898A7C87F6.jpeg
E493E498-CC48-4ECF-953F-929583BE33F4.jpeg
9E402CB9-84BF-4B53-9AA8-E8DD2E6BC8A5.jpeg
76910BCB-5E0E-4F7F-9A9C-5FA1C4DEA0BA.jpeg
1D9497D7-76E0-4776-9EDC-F07C9D425E7E.jpeg
B35F8C45-050F-4F69-A41F-46EE1C2366AF.jpeg
773A97FE-1585-41F8-8546-6D7C22EFFCC2.jpeg
B14B1EDF-C3FF-4A80-9333-4607F8D829A0.jpeg
6C59D7FB-83B2-4AF1-96B9-3B168731C0B2.jpeg
1C0BB90C-AD78-47C1-B473-8811E04DC577.jpeg
 
Yani we are almost doubling the medal count of our 'closest' challengers Ethiopia at 45 medals against Kenya's 86!

Zile viwanja tunaambiwa ni modern kazi yao bado tu ni kuandaa mikutano ya sisiemu ama walishaanza kuwa serious na michezo?
Hakuna sport mtanzania anajua, I told them to focus on witchcraft cause huko maybe wanaezaget kamedal.😂😂
 
Tangu Olympic ianze mko tu na medals mbili, Sasa Nini inakudanganya ya mwaka huu mtapata hata participation certificate?😂😂👇👇

View attachment 1851025
I have done simple arithmetic and realized that if you add all the medals of all the countries outside the top five, (if you start counting from Algeria downwards), their cumulative medal count bado haifikii ya Kenya
 
Wavivu hawataki kuinvest in sports, wao wako satsified na Simba na Yanga, na Gor hua imewaoa mbaya. 😄 Sports hua wako nje mbaya, probably the last kwa EAC.
Which sport is Tanzania known for btw? At least Kenya is known for athletics, rugby and women's volleyball among others
 
Olympic hakuna cha judge, Kila siku unaambiwa huna akili lakini usikii😂😂
Sasa ikiwa ww ushatoa matokeo kabla ya mechi si ni judge au ??😂😂😂😂 tangu lini bogus kama ww ukawa na akili?? Au ww unaoneshwa yajayo??
 
Yani we are almost doubling the medal count of our 'closest' challengers Ethiopia at 45 medals against Kenya's 86!

Zile viwanja tunaambiwa ni modern kazi yao bado tu ni kuandaa mikutano ya sisiemu ama walishaanza kuwa serious na michezo?
Sisi tuna pesa na ndiyo maana michezo kama kukimbia kimbia hatuwezi ila tuna uwanja wa kisasa ku host big competition, nyie ni maskini wa kutupa licha ya wanambio wenu kufanya vizuri lkn mnashindwa kuwawekea mazingira mazuri

Nchi ya kifukara bhn, mfano cc mpira pia hatujui ila tuna pesa ya kuwa na timu tajiri ukanda huu kufanya kuwa Europe ya wachezaji wa East and Central Africa

Pesa co shida Tz na ndiyo maana tulipoamua tu ndani ya miaka 10 tu ilitosha kuadabisha nchi zote ukanda huu kwa kuleta vitu modern

Medali zote ni za mchezo wa kitumwa
 
Wavivu hawataki kuinvest in sports, wao wako satsified na Simba na Yanga, na Gor hua imewaoa mbaya. 😄 Sports hua wako nje mbaya, probably the last kwa EAC.
Hio simba na yanga inatengeneza revenue kuliko team zote za kenya combined na kama unabisha sema??🤣🤣

nioneshe banda la choo ambalo gor mahia inatumia kama ofisi ukipata nitag nifunge acc 😂😂😂😂
 
Hio simba na yanga inatengeneza revenue kuliko team zote za kenya combined na kama unabisha sema??🤣🤣

nioneshe banda la choo ambalo gor mahia inatumia kama ofisi ukipata nitag nifunge acc 😂😂😂😂
Lakini bado tunawapiga kama burukenge. 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom