Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo mabati zimerust haziwezi fichika kwa any pic ya Dar. Zipo hadi CBD. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Umeshapanic tayar 🀣🀣🀣 unafkiri kuna slum CBD kama hiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

5B12E146-A236-47DB-9A78-BC4FF1E5F8BF.jpeg
 
Nairobi

Nilikuambia siongeleshwi na mwenye anatoka from a country with two interchanges, wakati mnashangilia interchange moja ya 3 level interchange, Kenya tayari ziko nne. Hakuna siku Tanzania itawaifikia Kenya hata kidogo.
Hiyo niliyokuonyesha ndo iko hyo hyo tu East and Central Africa, na co hyo tu, Tanzania ni nchi ya wonders, pia kuna cable bridges not bridge I mean bridges [emoji1787][emoji1787], pia kuna the one and only electric sgr, pia kuna the one and only BRT system, ngoja nikuwekee vzr uone vitu unapata tu Tanzania na c nchi nyingine EA[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]

-The one and only biggest hydroelectric dam in East and Central Africa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

-The one and only BRT system in East and Central Africa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

-The one and only modern electric sgr in East and Central Africa [emoji1787][emoji1787]

-The one and only 3 level interchange in East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

-The one and only biggest ships in East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

-The one and only biggest stadium in East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

-The one and only biggest market in East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hayo yote niliyoyataja yapo tu Tanzania hapa East and Central Africa, yn kwa tafsiri fupi hakuna infrastructure ipo East and Central Africa isiwepo Tz lkn kuna infrastructures nyingi zipo tu Tz ukanda huu na ulaya, ikiuma chomoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kimaa mmoja anajisifia ardhi kuwa ghali nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi bado kuna mtu anabisha kuwa mzungu hakuondoka na akili za wakunya!
Nimemdharau sn aisee, anajiaibisha, eti anashangilia kukosa ardhi ndani ya nchi yake, kila siku nasema Kenya na Wakenya ni Mavi mnasema nawatukana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hio ndio kazi ya african development bank??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee wacha tu nicheke

african development bank ndio ana rate development index ??? Na world bank kazi yao ni nini??πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Tulia Uganda iko mbele ya Tanzania kwa development πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.
 
Back
Top Bottom