The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Tangu ujue kukuza maandishi basi unasumbua sn hata pointless unaweka tu mradi umekuza.Nchi za kimaskini hazipewi mkopo. Ushuru wetu unafinance budget yenu na change inabaki.
Tangu ujue kukuza maandishi basi unasumbua sn hata pointless unaweka tu mradi umekuza.Nchi za kimaskini hazipewi mkopo. Ushuru wetu unafinance budget yenu na change inabaki.
Kwani Kuna mwenye amekuzuia kufanya hivo?Tangu ujue kukuza maandishi basi unasumbua sn hata pointless unaweka tu mradi umekuza.
Ameumia 🤣 🤣 🤣 alafu hio picha ya kwanza sio kenya.Kunyaland ni nchi tajiri sio,hongereni
View attachment 1850212
View attachment 1850213
View attachment 1850214
View attachment 1850215
View attachment 1850216
Wachafu hawa,uncivilized society wameona kuliko kusafisha hizi slums Ni bora wakope hela imf za kovidi wazitafune...selfish mazafakazzKunyaland ni nchi tajiri sio,hongereni
View attachment 1850212
View attachment 1850213
View attachment 1850214
View attachment 1850215
View attachment 1850216
Wewe ni kilaza kama kaka yako, unamjua vizuri, birds of the same feathers, simtaji 😂 😂😂 ., hii picha yako ni ya zamani sana! barabara ilikua bado under construction! Wapi street lights??😂😂😂😂!., wivu inakutesa sana kaka, Tanzania mko nyuma sana ata ujaribu propaganda unaumbuka tu, kila mti minyani ya Tanzannia itakwea itateleza😂😂 hiyo njia across chini ni dual carriage kwa sasa., kilaza,hii hapa ni mpya zaidi ya hii yako, but pia ni kitambo kidogo kwa vile bado dual carraige na beautification haipo!Hapo ilikuwa bado mpya, angalia hii ya ss, na ndipo ukazaliwa huu uchafu hapo nimezungushia, ukiniletea picha safi yenye huu uchafu ndo nitaamini [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1850088
Achana na huyo. Hizo ni dalili za maumivuZoom in tuone hizo slums unajaribu kutuonyesha, Dar ndo imejaa slums hakuna straight streets, nyumba zimejengwa bila mpangilio.
35,000 per month?Hii nyumba iko South B na rent ya 1 bedroom ni 35,000 pesa ya kenya na iko almost kujaa. Majority of bongolalas cant afford nairobi.
View attachment 1849409
Ipo U/C Lakini inaonekana kama ni ya miaka 10Utaskia bado IPO under construction 🙂
Mbona hasira asubuhi hivi? Nyinyi zile uswazi zenu mlizisafisha lini na kiziboresha? Ama nikuletee picha useme ni za 90s na zingine uzikane kama ilivyokawaida yenu?Wachafu hawa,uncivilized society wameona kuliko kusafisha hizi slums Ni bora wakope hela imf za kovidi wazitafune...selfish mazafakazz
Kondele interchange, complete with streets lights.,Hapo ilikuwa bado mpya, angalia hii ya ss, na ndipo ukazaliwa huu uchafu hapo nimezungushia, ukiniletea picha safi yenye huu uchafu ndo nitaamini [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1850088
Since hiyo ya kisumu ni mbaya, mwambie akuletee barabara kama hiyo 'nzuri' kule Mwanza, their second city tuoneWewe ni kilaza kama kaka yako, unamjua vizuri, birds of the same feathers, simtaji 😂 😂😂 ., hii picha yako ni ya zamani sana! barabara ilikua bado under construction! Wapi street lights??😂😂😂😂!., wivu inakutesa sana kaka, Tanzania mko nyuma sana ata ujaribu propaganda unaumbuka tu, kila mti minyani ya Tanzannia itakwea itateleza😂😂 hiyo njia across chini ni dual carriage kwa sasa., kilaza,hii hapa ni mpya zaidi ya hii yako, but pia ni kitambo kidogo kwa vile bado dual carraige na beautification haipo!
Hii hapa wameweka street lights, na bado ni ya kitambo kiasi., kwa sasa ya chini to Mamboleo ni dual..,
View attachment 1850278
Linganisha..,
View attachment 1850279
Ni wapi ulisona kwamba central government inaingilia maamuzi ya county governments?Usiniletee machozi mimi kipi mnakifanya ambacho Tanzania hakifanywi?
Halmashauri zina budgets zao, mabunge yao, madiwani wao, civil servants wao, bendera zao, Court of Arms zao, vipaumbele vyao, miradi yao na hawaingiliwi na serikali kuu (Central Government) kwenye maamuzi yoyote
Watoe wapi, ukiona wanaanza kutafuta uchafu wa Kenya jua wameishiwa pumzi 😂 😂 😂 ., sasa wakienda battle na SA ama Nigeria, wakisha post BRT na interchange mbili na bridge kazi yao itakua imeisha sasa watabakia kutafuta slums za SA na Nigeria ili kujiliwaza😂😂😂 they will have nothing more to show from Tz., vitu zao za kupendeza ziliisha, na zingine hazijengwi kwa wingi ku level na Kenya kwa sasa..,Since hiyo ya kisumu ni mbaya, mwambie akuletee barabara kama hiyo 'nzuri' kule Mwanza, their second city tuone
Only a stupid Tanganyikan like you and your ilk would actually believe that 2.5 million people can actually fit in an area measuring just over 2.5 square kilometres. Common sense is not common to bongolalas. Mtaumia sana vilaza nyieKibera alone accommodates over 2.5mil slum dwellers.
Inaitwa desperation 😂 😂 😂 😂 hawaamini bado in 2021 wako chini ya Kenya., lazima wajiliwaze., anajitia hamnazo., waliumia ilipo dhihirika Kibera ina watu less than 200,000., 😂😂😂 Dar ni kama yoote ni low life., lazima wajitetee, hawana lao kabisaaaOnly a stupid Tanganyikan like you and your ilk would actually believe that 2.5 million people can actually fit in an area measuring just over 2.5 square kilometres. Common sense is not common to bongolalas. Mtaumia sana vilaza nyie
Hawa watu tunawaentertain tukama majirani zetu. Hapa hakuna battle. Hata wao wanajua vizuri sana kwamba Nairobi is way ahead of Dar in virtually everything na Kenya kama nchi imepiga hatua sana kuwaliko. Sema tu ni uzalendo and that's understandableWatoe wapi, ukiona wanaanza kutafuta uchafu wa Kenya jua wameishiwa pumzi 😂 😂 😂 ., sasa wakienda battle na SA ama Nigeria, wakisha post BRT na interchange mbili na bridge kazi yao itakua imeisha sasa watabakia kutafuta slums za SA na Nigeria ili kujiliwaza😂😂😂 they will have nothing more to show from Tz., vitu zao za kupendeza ziliisha, na zingine hazijengwi kwa wingi ku level na Kenya kwa sasa..,
Madeni yenu tuu hamwezi kuyalipa ndio mtaweza kufinance budget yetuNarudia tena,
Nchi za kimaskini hazipewi mkopo. Ushuru wetu unafinance budget yenu na change inabaki.
Exactly, it's merely blind patriotism, kuna mtz kakiri ukweli siku moja niliona amejibiwa na kuambiwa asijionyeshe mnyonge kwa wakenya, ni umasikini jeuri tu. Am quite sure they DM each other to discuss how to respond😂😂😂 They know the truth, facts are undeniable, hapa ni ku relax and enjoy the debate., however it has exposed their misconstrued and skewed reasoning, fed by propaganda.Hawa watu tunawaentertain tukama majirani zetu. Hapa hakuna battle. Hata wao wanajua vizuri sana kwamba Nairobi is way ahead of Dar in virtually everything na Kenya kama nchi imepiga hatua sana kuwaliko. Sema tu ni uzalendo and that's understandable