FYI..Hio siyo mkopo..ni investor ameamua kuijenga kama biashara yake..jiulize kwanini alichagua kenya akaacha nchi zengine..na hajalazimisha mtu yeyote kutumia hio barabara..kama huna pesa tumia barabara ya chini..usisahau pia kuna investor ameamua pia kujenga another expressway kutoka nairobi hadi nakuru...Express way ya mkopo unavyodhani Tanzania ingekua na kipaumbele cha kutaka express way china itawanyima huo mkopo!