THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Phase one ilichukuliwa kama pilot study tutegemee maboresho mengi zaidi kwny phases zinazofuata wahusika wenyewe walishawahi kusema juu la hili.Kituo cha Mwendokasi kinachojengwa Ilala Boma ni kirefu wakuu. Nadhani ni zaidi ya mita 200.