President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Institute Of Social Work
We wa kuiba picha kalale umekuja kuvuruga mada 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakuja kwenye vyuo vya Afya sasa, KAM college of health sciences Dar.View attachment 1847831View attachment 1847832View attachment 1847833View attachment 1847834
Yani leo lazima tuwapige kusimama, kila site ukikimbia nakubana nayo


Simba 254 jamaa ywataka kuvuruga mada, km kawaida yakeNakuja kwenye vyuo vya Afya sasa, KAM college of health sciences Dar.View attachment 1847831View attachment 1847832View attachment 1847833View attachment 1847834


Akalale Awache mada iishe na amani 😎
Mkuu hujarudia hata chuo kimoja




Bado sijaweka University of Dar es salaamMkuu hujarudia hata chuo kimoja![]()
Hiyo itabishana na University of NairobiBado sijaweka University of Dar es salaam
Nenda kanye sasa. Nimekuwekea vyuo zaidi ya 50. Unakuja kwa kudokoa dokoa.Mberbwe gani
University of Embu
View attachment 1847890View attachment 1847891View attachment 1847892View attachment 1847894bro huna University unapost sijui military sijui nini
Wacha mdomo mingi kama una universities post kama huna watu wafanye kazi zingine ukitaka kujua nani wameweka mingi utafuatia kwanzia mwanzo mimi Nalala sasa siwezi shinda hapa na huna cha kupost ni kusumbua tu na vijicollege kama umeficha picha kidogo uweke mwisho ukifanye kushinda huo ni utoto na utabaki ukifanya hivo peke yako mimi nafunga madaNenda kanye sasa. Nimekuwekea vyuo zaidi ya 50. Unakuja kwa kudokoa dokoa.
Unikome bado kuna vyuo zaidi ya 40 sijaviweka.
Bado Zanzibar nimeweka chuo kimoja tu.
Usicheze na Tanzania kijana.