Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyatta University​

images - 2021-07-10T005742.394.jpeg
images - 2021-07-10T005752.613.jpeg
images - 2021-07-10T005807.862.jpeg
images - 2021-07-10T005817.135.jpeg
images - 2021-07-10T005825.912.jpeg
images - 2021-07-10T005837.372.jpeg
images - 2021-07-10T005851.494.jpeg
images - 2021-07-10T005931.014.jpeg
images - 2021-07-10T005942.898.jpeg
 
Kenya mpo juu kwa Rushwa, mpaka Rais Uhuru Kenyatta ameombwa rushwa na mlinzi wa getini. Kwenye Battle ya Rushwa hatuwawezi.!!!

 
Local governments zilikua tangia kenyatta huku
Unataka kuturudisha enzi za mkoloni, hzo halmashauri zina mawaziri?!!
Km hujui kitu uliza acha ukurupukaji

Kisha eti kuna kilaza nae ka like
Waziri ndio kipimo cha context ya local government au ni matumizi mabovu ya pesa za umma kuunda vyeo vya kishenzi kulipana mabilioni wakati mnakufa njaa

Ndio maana 90% ya makusanyo yote ya KRA ni kulipa mishahara.
 
Bugdet yetu ya elimu inajenga sgr dar to makutupora alafu kunabakia change, upo!!

Bugdet yetu ya elimu inajenga sgr dar to makutupora alafu kunabakia change, upo!!
Niliwapa kichapo kwenye sector ya elimu mkapoteana humu usijisahaulishe

Mtujengee sisi bullet trains wakati mitungi yenu ya chang'aa ya medieval age imewashinda mpaka mchina akaingilia kati?
 
Back
Top Bottom