Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Train zenyewe mitumba yetu ya DMU zinaafadhali

Double stack hazibebi

Mizigo yenyewe hakuna alafu isitoshe yote inaishia dar slum.

Haya niambieni hawa maskini walihitaji SGR ama ndo walitaka kushindana na ndovu[emoji1787]


vitu kama hawa jamaa vinawaumiza balaa
IMG_0274.jpg
 
Mzee huwezi kufanya utapeli. Hujiamini? Be real kijana
1625833792730.png


 
Fake fake everything fake. Kenya mnanini lakini?

1625833962531.png


 
Umeanza issue zako sasa mzee.
Hatua moja tu unaanza cheating 🤣 🤣🤣
Sijaanza hata kukupiga za uso umeanza cheating
View attachment 1846784

View attachment 1846786
Laumu
Fake fake everything fake. Kenya mnanini lakini?

View attachment 1846792

Screenshot_20210709-153116_Chrome.jpg

Laumu media si mimi
 
Back
Top Bottom