Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu nakupa homework nenda kaangalie GDP Contribution ya Tanzania kwa sectors ndo urudi hapa at least EACOP ingewaboost tukawanyang'anya na hii pia 😂😂😂😂😂.
Unaongelea GDP gani? Yenye mlipungua on the last report Kenya ikaongeza ama gani?
 
Stefano Moshi Memorial University
1625838671083.png


1625838737611.png


1625838871598.png


1625838898192.png
 
Yaani unajiita IT na wakati hujui kuwa blogs zinaweza kutumia picha ya kitu husika (na picha inaweza kuwa ya sehemu nyingine) ili iendane na habari iliyoandikwa kwenye article husika!

Au kwa sababu tu heading inasema ni kenya na wewe unajua ni kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaongelea GDP gani? Yenye mlipungua on the last report Kenya ikaongeza ama gani?
Endeleeni na upishi wa data kwa ajili ya milage za kisiasa,tulishawastukia kitambo wala hatuhangaiki na nyie. Hiv hii pesa yenu mnayoandika kwa vitabu huwa inaishia wapi?!mko na mikopo tu kila kukicha...!!!.
 
Back
Top Bottom