Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Nakupatia taarifa uliyoleta wewe mwenyewe sasa unaanza kubabaika na kutoa povu. Hiyo real estate value unayoleta hapa kila siku imekuumbua sasa unaanza hasira. Nairobi is richer compared to your glorified fishing village. That's the bitter pill you can't take. It has a bigger middle-class population than all other cities in this region. That's another bitter pill you won't take down your throat. Hayo ya slums mbona tumeyazoea? Mbona hujiulizi licha ya hayo changamoto zote Nairobi is still richer than Dar, has a bigger middle-class population na mambo mengine? Number mtazidi kusoma. Povu ruksaKwani ukiskia real estate kwanza unaelewa nn ??? 🤣🤣🤣🤣 yani unachekesha sana unazungumzia utajiri wa eneo wakat 75% wako kwenye slums maisha ambayo hata nguruwe hawezi ishi, nchi ambayo wanafaidi wajanja tena makabila mawili tu kalenjin na kikuyu wengine kwangu pakavu tia mchuzi
Dar mtu kumiliki nyumba zaidi ya 30 ni kitu cha kawaida sana yani haoni ajabu sio nyinyi unakuta tajiri mmoja anamiliki estate ya 40b kirubi alaf wengine watamiliki nn na nusu ya eneo la nairobi ni misitu na national parks??
