Sishangai kushikilia vitu vidogo dogo na vya kipumbavu kama hiv angalia uchumi wenu uko driven na nini...utagundua uchumi wa Kenya ni wa juisi mnahangaika hangaika tu *agribusiness...hamna kiwango cha kutuzidi sisi kwa kila kitu,mnavusha mazao Tanzania na kupack Kenya na tushawadhibiti vilivyo mnabakia kupika data tu, industrial sector kaangalie inachangia kiasi gani ndo urudi hapa peanut,njoo kwny services sector (Tourism, financial and other retail) Tourism mshakaa kitambo sana ambayo ndo yenye mchango mkubwa sana ndani ya hii sector ya huduma...!!
Unapokuja na swala la real estate na kujinasibu feel very pity for you!!!mshazoea kufanya kazi na Knight Frank,Dar es Salaam kuna madalali na madadali wanaozungusha pesa wakubwa na wadogo kwny maswala haya ya real estate sema wako off record!!!acha kujifariji Mkenya!!!.