Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kujipa matumaini hvo hvo mutashtukia manyoa tu 😂😂😂 sasa hvi dar tunaenda 25m tons per year as 2019 tuligonga 20m tone 🤣🤣

tulieni tu ngoma mutaicheza tu
Sasa kati yangu na wewe nani anajipa matumaini🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mimi naongelea vitu present wewe unaongela future🤣 🤣 🤣 🤣

Na umaskini wenu mnatarajia kujenga port mpya kweli, aah wapi? Nenda politics section uone vile watanzania wenzako wanavyoshobokea lamu port.
 
Where are they tuone ?? 😂😂 nusu ya budget munasubiri mikopo alaf nusu nyingine inaishia kulipa madeni na mishahara

miradi gani kenya inafanya kwa kutumia budget yake nitajie moja tu 😂😂😂😂

mchina anawapukulia kichogoni kwenye project zote

SGR pesa mchina loan
Expressway pesa mchina
Dongo kundu pesa mjapan loa
GTC mchina mmiliki

ni project gani taja moja tu 🤣🤣🤣
Screenshot_20210708-213429_Chrome.jpg

Hiyo moja tu imebeba tanzania na watu wake wote
 
Where are they???? Nioneshe 32 bearth of lamu moja tu hio ukipata nitag nifunge acc
Nioneshe railway na pipeline pia nifunge acc😂😂😂😂😂😂 unaniletea stori zilizozungumzwa toka kwa kibaki mpaka leo
Correction sema " nionyeshe 29 berths za lamu port" 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sasa kati yangu na wewe nani anajipa matumaini🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mimi naongelea vitu present wewe unaongela future🤣 🤣 🤣 🤣

Na umaskini wenu mnatarajia kujenga port mpya kweli, aah wapi? Nenda politics section uone vile watanzania wenzako wanavyoshobokea lamu port.
Mm naongelea present as dar port expansion iko over 85% now na ikikamilika tu this year cargo volume ita shoot to 25m tons to 35m tons 😂😂😂 kaa mkao wa kula

tanga port iko under expansion na bomba linapita pale itaifanya tanga kua bandar ya mafuta kwa ukanda huu

mtwara port iko under expansion bearth two and three na volume imeanza kushoot up

new zanzibar port ujenzi ushaanza tegemea makubwa zaid ya hapo 🤣🤣🤣🤣
 
Eishhhh🔥🔥🔥🔥can't wait for it's complition,, Nairobi will be lit,,the London of EA,,si ndyo kusema😁😍
Ningeomba serikali ya kenya na tanzania ifatilie hii ID inayojiata The best 007 sababu inapanga shambulio la kigaidi kwa barabara yetu tukufu🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom