Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,089
- 17,805
Do some research on FDIs ujue ni kwa nini hao wachina wanakuja kuwekeza Kenya na not Tanzania.Express way nakumbuka nilifkiri munajenga nyinyi kwa pesa yenu kumbe ni ya mchina kwa miaka 30 na mutalipia hapo kwa lazma sio ombi ๐๐๐๐
GTC nayo ni ya mchina ni yale yale unaruka mkojo unakanyaga mavi ๐๐๐๐
Narudia kusema mwambie mwenzako asante kwa render