Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best 007 nakusubiria..mzee wa ku expose mbona wachelewa bana, nina hamu ya wakuwajuza watu kuhusu hilo basha lako kw avatar..

Jamaa kumbe ywaumia bana kisa avatar, huamini km hyo niliyemueka kwnye avatar kamzidi mkeo kw kila kitu..pole sana usijali na wewe mkeo mhimize apake mikorogo huenda labda akafikia robo ya hyo mdada hapo[emoji1787][emoji1787]
 
Dr.Agarwals Eye Hospital, Dar es salaam
1625664396520.png

1625664416983.png

1625664484265.png

1625664674522.png

1625664698378.png

1625664716254.png
 
Haka kademu leo nimekashangaza sn, ngj muone kata change avatar soon [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa kumshangaza komora atakuja kuwa wewe chokambaya wa buza[emoji1787][emoji1787]
Pole sana, hzo hekaya zako unazisimulia ukiwa wapi Mataga
 
The best 007 nakusubiria..mzee wa ku expose mbona wachelewa bana, nina hamu ya wakuwajuza watu kuhusu hilo basha lako kw avatar..

Jamaa kumbe ywaumia bana kisa avatar, huamini km hyo niliyemueka kwnye avatar kamzidi mkeo kw kila kitu..pole sana usijali na wewe mkeo mhimize apake mikorogo huenda labda akafikia robo ya hyo mdada hapo[emoji1787][emoji1787]
Hahahahahaaa umeshangaa sn nilivyokwambia anapatikana kitunda huyu mal.aya, kama una connection naye muulize akujuze km ni kweli au namsingizia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani wasafi ni wakenya,yaani ulishasahau hadi swali ulilouliza..hata hivyo Nancy,rich na monalisa si wcb
Wanakipi cha ajabu hao sasa, yani ndio ukawatajie team domo au konde hao watu..watakuona fala sana nakwambia[emoji1787][emoji1787].

Tz mziki ni wa watu flani bana
 
Hahahahahaaa umeshangaa sn nilivyokwambia anapatikana kitunda huyu mal.aya, kama una connection naye muulize akujuze km ni kweli au namsingizia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utaumizwa sana na avatar yangu, tena bado kisha[emoji1787][emoji1787]
Endelea kunifuatilia
 
Utaumizwa sana na avatar yangu, tena bado kisha[emoji1787][emoji1787]
Endelea kunifuatilia
Ameweka profile picture interchange ya Ethiopia anadanganya watu ni Changamwe ya Mombasa, fala sn yule demu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wacha ushenzi Mkunya! Hii ni Aga Khan University campus ya Karachi Pakistan

2834109_images_-_2021-07-07T150218.129.jpeg

And this is Arusha's

Architectural Model of the Aga Khan University Faculty of Arts and Sciences (AKU-FAS)​

aku-fas-01.jpg

aku-fas-02.jpg

aku-fas-03.jpg

aku-fas-04.jpg

aku-fas-05.jpg

aku-fas-07.jpg

aku-fas-06.jpg

aku-fas-08.jpg

aku-fas-09.jpg

aku-fas-15.jpg

aku-fas-18.jpg

aku-fas-19.jpg

achaloose points zote.. na kapoteza mchezo kbsa! tuendelee na mambo mengine [emoji23][emoji23]
 
Ila Ethiopia nao wana some classic infrastructures zinazobamba, starehe gharama tumia pesa nyingi kujenga kitu quality, Gotera intersection, Addis[emoji116][emoji116]
Screenshot_20210707-145717.jpg
 
Huwezi ona vitu kama hivi Kunyaland! ipe hii picha muda ita-circulate humu under the tag Kunyaland!
Hawa mbwa wanapenda sana sifa za kipuuzi, ni laana waliyonayo, hivi vipicha unavyoona tunawastukia kwamba wameiba sio kwamba wanafanya kusudi bali ni media zao ndio ziko hivyo, ukiingia Google utaona vitu vingi wameweka mtandaoni kwamba ni vyao, uki Google picha ya infrastructure nyingi za EAC utakuta heading wameweka nchi yao yani mpk ukiingia ndani ndo utakuta kwamba sio ya Kenya, ni mbwa sana hawa wenye tabia za kichokochoko kupenda mali za watu.
 
Ameweka profile picture interchange ya Ethiopia anadanganya watu ni Changamwe ya Mombasa, fala sn yule demu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana, nishakushtukizia
Troll[emoji1787][emoji1787]
Tabia km hizi nazipotezea
 
Back
Top Bottom