Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalieni wakenya walivompokea alikiba hata kenyatta hapokelewi hvi 🤣🤣🤣🤣

alikiba piga pesa ya maana leta nyumbani
 
🤣🤣🤣🤣🤣 tafuta pesa kijana wacha porojo nyingi
IMG-20210603-WA0021.jpg
IMG-20210508-WA0049.jpg
IMG-20210507-WA0011.jpg
huyo kijana anakukalia maskini?

IMG-20210414-WA0016.jpg
 
We matako tu,hujajibu kitu,kwanza unajua kiingereza..!??..kwanza hizo tuzo hazikuwa BET,ni tuzo uchwara flani huko nigeria, na category aliyokuwepo Kali si "best hip-hop in Africa" bali "best in hip-hop"..award za BET alizokuwa nominated Kali hakuchukua,alidondokea pua

Sisi tunazungumzia BET,ukileta awards uchwara hizo wasanii wetu wanazo kama zote yan,tena huyo domo kajaza kabati
Tutajie wasanii wawili tz ambao wamebaba tuzo za kimtaifa(kw africa)
 
Wewe ni simba au panya
Mradi kama Wa Julius Nyerere Hydroelectric Dam lazima tu utaleta positive impact katika uchumi ,fikiria kuongeza 2115MW Mradi m1...port expansion ,SGR,Roads constructions etc. ..
Hii miradi ndio itakuja kubadili uchumi wetu kabisa
Mradi gani mkubwa tanzania ambao unafanya kazi kw sasa
 
Sub Sahara Africa
Nigeria $432B
SA $301B
Ethiopia $107B
Kenya $98B
Ghana $72B
Tanzania $62.4B
Angola $62.3B
Cote d'voire $61B
tuusan.. please please if you can kindly give us the link to this report, or even just screen shoot this page, we us kenyans will realy appreciate..
coz wht i've knwn over the years,. is tht kenya is the 3rd largest economy in sub saharan africa, only after south africa and nairaland. pliz
 
Wewe ni simba au panya
Mradi kama Wa Julius Nyerere Hydroelectric Dam lazima tu utaleta positive impact katika uchumi ,fikiria kuongeza 2115MW Mradi m1...port expansion ,SGR,Roads constructions etc. ..
Hii miradi ndio itakuja kubadili uchumi wetu kabisa
Wengine kwani wameketi?
 
tuusan.. please please if you can give us the link to this report, or even just screen shoot this page, we kenyans will realy appreciate.
coz wht i knw is tht kenya is the 3rd largest economy in sub saharan africa, only after south africa and nairaland pliz
Ethiopia is the 3rd largest economy behinds SA in sub Saharan Africa Ugua pole
Ingia google world bank gdp african countries latest report imetoka tar1 July 2021
 
Ethiopia is the 3rd largest economy behinds SA in sub Saharan Africa Ugua pole
Ingia google world bank gdp african countries latest report imetoka tar1 July 2021
Ooh hiyo report inaonyesha kenya imeongeza gap ya GDP between Kenya na tanzania hata mimi nimeona tanzania ni kulala tu darasani
 
Apo Kenya cha maana kipi zaidi ya kutafuna mikopo ya imf kwa vitu vya kipuzi
Pesa ya imf inatumika kurestore economy wacha kelele uliona Twitter watu kupiga kelele bila kujua the benefits of the imf loan ni vile watu wa serikali kuna wenye walikua pesa na ikawakera raia so lazima wapige kelele but for now the imf will make a huge change in 5years watch that space
 
Sub Sahara Africa
Nigeria $432B
SA $301B
Ethiopia $107B
Kenya $98B
Ghana $72B
Tanzania $62.4B
Angola $62.3B
Cote d'voire $61B
ona.. coz habari toka kwa World Bank na IMF 2020 inasema hivi..
2021_07_05_22.09.12.jpg
2021_07_05_22.09.54.jpg
kwa raha zako. habari ndo hio.
 
Back
Top Bottom