Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ppp is good we get good infrustracture hata kama tunalipia kutumia Bora hivo than wakati hakuna
Tusubiri pain kwenye toll za mchina pale expressway machungu tutayakuta twitter lets wait hata SGR ya mchina tuliskia mengi na sasa imegeuka kua tembo mweupe😂😂
 
Mmeanguka kwa gdp na bado mko mtandaoni kumbe ni kelele tu mko nayo naskia in the new report kenya imeongeza gap 🤣🤣🤣🤣🤣 pigeni tu kelele sisi tukizidi kupaaa haina shida munakubaliwa kushinda mjadala JF lakini real world things are diffrent
Mzee tunaongelea helicopter vipi umekuwa mwehu!?

AW-139 helicopter​

Tusubiri pain kwenye toll za mchina pale expressway machungu tutayakuta twitter lets wait hata SGR ya mchina tuliskia mengi na sasa imegeuka kua tembo mweupe😂😂
Lakini bado GDP tunazidi kuongeza gap hehe nyinyi ni kelele tu online sisi unaona twitter tukicomplain because we free to demand good services nyinyi you have to work with what the government provides ama mushikwe
 
We have a stadium which have hosted a world championship tournament unlike hile local stadium yenu that only host local matches and tournament. So our stadium is better than yours.
Mkapa stadium ina-host only local matches!????..una akili wewe,au shida ni English language!??..unajua simba sc hadi anafika 1/4 final caf anakuwa amecheza international matches ngapi?..hivi huko shule huwa mnasoma nini?
 
Kikwete ashangazwa na maamuzi ya hayati magufuli 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Yalikua ni maamuzi magumu sana kwa maslahi ya nchi hii
 
Miradi mikubwa haimaanishi maendeleo daraja kubwa sitaleta raslimali?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maendeleo yanamaanisha nn ?? Watu kufa na njaa huko turkana, au maendeleo yanamaanisha wizi na rushwa ??
 
Miradi mikubwa haimaanishi maendeleo daraja kubwa sitaleta raslimali?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ni simba au panya
Mradi kama Wa Julius Nyerere Hydroelectric Dam lazima tu utaleta positive impact katika uchumi ,fikiria kuongeza 2115MW Mradi m1...port expansion ,SGR,Roads constructions etc. ..
Hii miradi ndio itakuja kubadili uchumi wetu kabisa
 
Mkapa stadium ina-host only local matches!????..una akili wewe,au shida ni English language!??..unajua simba sc hadi anafika 1/4 final caf anakuwa amecheza international matches ngapi?..hivi huko shule huwa mnasoma nini?
Wanasoma kupika makende ya kondoo😂😂
 
Back
Top Bottom