Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
NandyTutajie wasanii wawili tz ambao wamebaba tuzo za kimtaifa(kw africa)
Platnumz
Vannyboy
Zuchu
Rich
.........
Unataka mwingine?
NandyTutajie wasanii wawili tz ambao wamebaba tuzo za kimtaifa(kw africa)
😆😆😆😆😆 wapi.!?.. hakuna. yote iko consistent to 2020 report.Ethiopia is the 3rd largest economy behinds SA in sub Saharan Africa Ugua pole
Ingia google world bank gdp african countries latest report imetoka tar1 July 2021
Hehehe!!yani nje ya wasafi ni upupuNandy
Platnumz
Vannyboy
Zuchu
Rich
.........
Unataka mwingine?
we ni chokoras tu,,kwani naongopaUkiwafukara usi lazimishie wengine pia wawe fukara vumilia na hali yako
Hehehe!!mbona unatuaminishia uongo jamani na wakati majuzi tu kuna mbunge wenu katembelea watu wake barabara imejaa tope kurukaTunateleza kwenye barabara za lami hadi sehemu ambazo hawakuwahi kuota

pole sanaHilo swali gumu kweli kw watzKenya upi!? Tanzania ipo mingi.
1. Tunawalisha ugali.
Sasa hivi tumepanga kuanza kuwauzia ugali uliopikwa kabisa badala ya mahindi na unga.



Your take nini bana nyie kubalini tu km mna interchange moja
MY TAKE
Itachukua generation falamanga iliyopo kuondoka ndipo Kunyaland iweze kupata quality infrastructure kama hii!
Lkn ukumbuke kenya tumeshawai chukua Grammy Award..Nandy
Platnumz
Vannyboy
Zuchu
Rich
.........
Unataka mwingine?
ona jinsi walivyochimba chimbaacha wajipe matumaini manake hawalali siku hzi


MTV europe award sauti sol walibeba pia..oya Fabio santolo
unapoteza mda kudeal na huyu.. sijui ana mimba, haeleweki .. nakushauri fanya ishu nyingine
View attachment 1842724
View attachment 1842725
Let me ask you. What's the problem with Kenya being number three?are you feeling agitated and an easy that a country that neighbours is that topEthiopia is the 3rd largest economy behinds SA in sub Saharan Africa Ugua pole
Ingia google world bank gdp african countries latest report imetoka tar1 July 2021
Hapa vi mzee, una majibu Simon
Angalieni wakenya walivompokea alikiba hata kenyatta hapokelewi hvi 🤣🤣🤣🤣
alikiba piga pesa ya maana leta nyumbani