Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We matako tu,hujajibu kitu,kwanza unajua kiingereza..!??..kwanza hizo tuzo hazikuwa BET,ni tuzo uchwara flani huko nigeria, na category aliyokuwepo Kali si "best hip-hop in Africa" bali "best in hip-hop"..award za BET alizokuwa nominated Kali hakuchukua,alidondokea pua

Sisi tunazungumzia BET,ukileta awards uchwara hizo wasanii wetu wanazo kama zote yan,tena huyo domo kajaza kabati
 
Wacha pumba data Za wb tz ilikua $61B mwaka 2019 kenya $95B mzee wa kukurupuka

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
So gap yetu na nyinyi inaendelea kuongezeka kumbe ni kelele mko tu nayo mtandaoni 🤣🤣🤣🤣 nyinyi ni wale wanafunzi mnasoma sana lakini mtihani ukija mna feli 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzee unaleta low cost helicopter ulinganishe na H225!? Upo sawa kichwani kweli!?
Screenshot_20210705-211542.png
Screenshot_20210705-211639.png
 
We matako tu,hujajibu kitu,kwanza unajua kiingereza..!??..kwanza hizo tuzo hazikuwa BET,ni tuzo uchwara flani huko nigeria, na category aliyokuwepo Kali si "best hip-hop in Africa" bali "best in hip-hop"..award za BET alizokuwa nominated Kali hakuchukua,alidondokea pua

Sisi tunazungumzia BET,ukileta awards uchwara hizo wasanii wetu wanazo kama zote yan,tena huyo domo kajaza kabati
Miminasema kwa hiphop mashoga wa tanzania na love songs mtajulia wapi hip hop?
 
So gap yetu na nyinyi inaendelea kuongezeka kumbe ni kelele mko tu nayo mtandaoni 🤣🤣🤣🤣 nyinyi ni wale wanafunzi mnasoma sana lakini mtihani ukija mna feli 🤣🤣🤣🤣🤣
Gap inaongezeka ndio lakin nashangaa sana tunawezaje tufanya miradi mikubwa nyie mnashindwa?kumbe mnamali na akili kisoda

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mzee unaleta low cost helicopter ulinganishe na H225!? Upo sawa kichwani kweli!?
View attachment 1842674View attachment 1842676
Mmeanguka kwa gdp na bado mko mtandaoni kumbe ni kelele tu mko nayo naskia in the new report kenya imeongeza gap 🤣🤣🤣🤣🤣 pigeni tu kelele sisi tukizidi kupaaa haina shida munakubaliwa kushinda mjadala JF lakini real world things are diffrent
 
So gap yetu na nyinyi inaendelea kuongezeka kumbe ni kelele mko tu nayo mtandaoni 🤣🤣🤣🤣 nyinyi ni wale wanafunzi mnasoma sana lakini mtihani ukija mna feli 🤣🤣🤣🤣🤣
Na hapo ukumbuke debt to GDP ratio
Tanzania ni 32%
kenya 85%

take it or leave it🤣🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom