!YesDar haina 5* hotels[emoji1787][emoji1787]
Kaajiriwa na wahindi kweli hyo, jama linapigishwa kazi mpka basiKwani kazini kwenu hakuruhusiwi simu, [emoji1787] sema umeajiriwa na mhindi roho mbaya.
We mpunga haujui kitu kuhusu platnumz kaa kimya, Mwaka huu ilikua ni mara ya tatu Dee kuwa nominated BET .. 2015 na 2016 Platnumz alichaguliwa kuwania tuzo ya BET na kipengele kilekile.. shut off yr fu*** mouth.. by the way, the only guy won BET in EA is Rayvanny .. nyie kunyans kuhusu masuala ya mziki ni wapuuzi tu mbele za wabongo..Tayari khaligraph kawana nominated mbele ya domo mwaka jana
Ukweli unabaki tu pale pale km kenya tumewatangulia katika hzo nominations enzi za camp mulla katiWe mpunga haujui kitu kuhusu platnumz kaa kimya, Mwaka huu ilikua ni mara ya tatu Dee kuwa nominated BET .. 2015 na 2016 Platnumz alichaguliwa kuwania tuzo ya BET na kipengele kilekile.. shut off yr fu*** mouth.. by the way, the only guy won BET in EA is Rayvanny .. nyie kunyans kuhusu masuala ya mziki ni wapuuzi tu mbele za wabongo..
Sub Sahara Africa
Nigeria $432B
SA $301B
Ethiopia $107B
Kenya $98B
Ghana $72B
Tanzania $62.4B
Angola $62.3B
Cote d'voire $61B
Sub Sahara Africa
Nigeria $432B
SA $301B
Ethiopia $107B
Kenya $98B
Ghana $72B
Tanzania $62.4B
Angola $62.3B
Cote d'voire $61B
Maybe wawekezaji wengi kutoka America pamoja na issue ya dhahabu...plus other factors. ..ila wamepaa sio sirikilichofanya ghana ipae haraka ni nn?
Huo mkeka ume-exclude northerners ila wako vizuri ngoja niwekeafu lete ya bara lote.. morocco ilikuwa mbele ya kenya around 103-110$B hiv.. saiz wako na ngap?