Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

barabara mpana. muthaiga junction and limuru road overpass and underpass
2021_07_03_22.56.20.jpg
nairobi12.jpg
 
guys hii barabara ndo wanaipost humu kwa mbwembwe?
kumbe ni part ya ile barabara from Egypt to SA financed by AfDB ambayo itapita pia Tanzania!
 
Tunajua sio level moja, coz Khaligraph ni rapper na Domo ni m'bana pua. Case closed! 🤣 🤣 🤣
Umesahau pia ni mbana pua lakini ana fans wengi kuliko msanii yoyote africa mashariki,pia domo ana mkwanja kuliko kali,kali masikini...halafu huku kwetu kali ni underground..
 
Khaligraph - BET Hip Hop Awards 2020(nominated)
Camp Mulla- BET International Award 2012(nominated)
Sauti Sol - BET best international act:Africa 2015(nominated)
Hiyo ni BET tu, sijataja nominations na wins za international awards by Kenyan artists.
Unaelewa kiswahili dogo mbona bichwa yako ngumu sana,nimekwambia msanii aliyekuwa nominated BET Mara 2,kama alivyofanya domo...
 
guys hii barabara ndo wanaipost humu kwa mbwembwe?
kumbe ni part ya ile barabara from Egypt to SA financed by AfDB ambayo itapita pia Tanzania!

Hizo ni zile ndoto za alinacha. Ata wakijenga pia muhimu, hela ni yao! 🤣 🤣 🤣
 
Umesahau pia ni mbana pua lakini ana fans wengi kuliko msanii yoyote africa mashariki,pia domo ana mkwanja kuliko kali,kali masikini...halafu huku kwetu kali ni underground..
Ati underground, hahaha... Mpuuzi ajitokeze basi tuone uhuni wenyu kwake. Nafkiri Nigeria alishapeana Chanjo, sasa nyie jitieni vichwa maji... 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom