Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati underground, hahaha... Mpuuzi ajitokeze basi tuone uhuni wenyu kwake. Nafkiri Nigeria alishapeana Chanjo, sasa nyie jitieni vichwa maji... 😂 😂 😂 😂 😂
Bongo ameshakuja Mara nyingi sana kuomba collaboration na wasanii wa bongo,na kashafanya collaboration si chini ya 9...hana maajab yoyote
 
Tanzania iko nyuma ya kenya na miaka hamsini.
Screenshot_20210703-225704.png
Screenshot_20210703-225615.png
 
Ndipo Tz ilipofika hapo mkuu, so kulinganisha na nchi zingine ni km matusi, nilipoona kuna mkunya kaanzisha battle ya buses nikajua keshataga tayari cz hawezi shinda hiyo battle na hapo bado kabisa kuna shule nyingi mno Tz zenye school buses za adabu.
Bw mipesa alianzisha mada ya school bus baada ya kushindwa mada ya mabasi ya timu za soka
 
nzuri lkn yakawaida siunajua kwe hotels hamtufikii
Tuingie battle ya five-star hotels kati ya Dar na Nairobi kama unajiamini sana. Hii battle imewahifanywa hapa and you ended up embarrassing yourselves but we can have a rematch just to remind you where you belong. Ukiwa tajiri uniambie
 
OK,nimefurahi kwamba lesson yangu umeielewa,then sioni shaka ya hizo photos labda uelezee ulikuwa unataka kuonesha nini labda
Sijaelewa lesson yako, that's why am asking you to interpret those photos for us since you know how to do it. Don't get this twisted. My question was straightforward
 
Tuingie battle ya five-star hotels kati ya Dar na Nairobi kama unajiamini sana. Hii battle imewahifanywa hapa and you ended up embarrassing yourselves but we can have a rematch just to remind you where you belong. Ukiwa tajiri uniambie
Mzee utaleta takataka. Wenzako walijaribu wakaangukia pua. Modern buildings. Ya kwenu matofari chini mpaka juu.

1625363239350.png

1625363328990.png

1625363432111.png

1625363479414.png
 
Back
Top Bottom