Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sarova Panafric is a 5-star hotel
Ondoa ubishi wa kipumbavu. Ebo!!! 😡 😡😡
 
Ulipata msemo hapa sasa unatumia., exactly your reasonings ., "my mother is the best cook" reasoninh ndio zenyu, sisi nikuwaletea facts, kazi yenyu inakua vijisababu uchwara na kulia lia na Kibera ili kujiliwaza ., kisa mmeumbuliwa na mmekosa jibu., tunawajua kikamilifu, wanyonge siku zote..,
Msaidie mwenzako anahangaika kujibu hotels zaidi ya ishirini nilizopost, anapost mpk uchafu onaaa
 
😲😲😲😲🥺🥺🧐🧐😳 Next.., am well entertained., nimepigwa na butwaaa!!., 😂😂😂., Tanzania!!!., NEXT...,
Hapana we have better nimekua nikifwata thread I see what you posted lemmie suprose them
 
Msaidie mwenzako anahangaika kujibu hotels zaidi ya ishirini nilizopost, anapost mpk uchafu onaaa
Ako sawa., Maneno mengi hana, nyie lazima muambatanishe na maneno ili ionekane., ovyo kweli.., hii ya hotels facts ziko wazi, too obvious, Tz bado sana., ukitaka facts zenye comparison analysis ya EAC utapata kwa mtandao.., sasa mbona nipoteze mda.., bro., you are way below, jamaa anawachangamsha jumapili.., hadi mkatoka Dar mkaenda kutangatanga nje😂😂😂😂,
 
We are not doing guest houses kijana wa Tandale. It is purely 5-star hotels.
Screenshot_20210704-105258.jpg
 
Ako sawa., Maneno mengi hana, nyie lazima muambatanishe na maneno ili ionekane., ovyo kweli.., hii ya hotels facts ziko wazi, too obvious, Tz bado sana., ukitaka facts zenye comparison analysis ya EAC utapata kwa mtandao.., sasa mbona nipoteze mda.., bro., Ayou are way below, jamaa anawachangamsha jumapili.., hadi mkatoka Dar mkaendankutangatanga nje,
Sisi sio waumini wa papers, sisi ni ground km unavyoona, so weka hapa hizo hotels zenu mnazozisifia mtandaoni zen sisi tunaweka hotels zetu ambazo hatujisifu kuwa nazo zen utaamua mwenyewe
 
Ako sawa., Maneno mengi hana, nyie lazima muambatanishe na maneno ili ionekane., ovyo kweli.., hii ya hotels facts ziko wazi, too obvious, Tz bado sana., ukitaka facts zenye comparison analysis ya EAC utapata kwa mtandao.., sasa mbona nipoteze mda.., bro., Ayou are way below, jamaa anawachangamsha jumapili.., hadi mkatoka Dar mkaendankutangatanga nje😂😂😂😂,
Achana na hawa vilaza. I asked one of them tufanye battle ya 5-star hotels kati ya Nairobi na Dar but they are already posting gurlest houses za Arusha na Mwanza. How do you deal with such minds? Si unawaacha tu wajifurahishe?
 
Back
Top Bottom