Atakuletea ka sehemu ka CBD, kama Eastleigh hivi.., around CBD utapata takataka., Dar hakuna such housing in this density😂 😂 😂Ameumia, ukipata concrete jungle kama hii mitaani kwenu nitag.View attachment 1838239
Hauja mshow poa bro.., 😂Unajua nini wewe kwenye uchumi zaidi kunyonya makalio ya mkeo?
Na ni mpumbavu, hajui pia Zimbabwe is mentioned among lower mido income countries.., thus wanapimwa by $3..,Hiyo umasikini unaongelea ilipimwa kwa kiwango cha dola tatu kwa siku na ndio tukapatikana watu 20.8m. Nyinyi kipimo chenu ni cha dola moja kwa siku na ndio mko watu 28m. Jiulize hali ingekuwaje kama mngepimwa kwa kiwango cha dola tatu kwa siku kama sisi. Vitu zingine ni kutumia tu akili, sio kutoa povu na kujifanya hamnazo!
| Threshold | July 2019/$ (new) | July 2018/$ (old) |
| Low income | ||
| Lower-middle income | 1,026 - 3,995 | 996 - 3,895 |
| Upper-middle income | 3,996 - 12,375 | 3,896 - 12,055 |
| High income | > 12,375 | > 12,055 |
| New group | Old group | GNI/Capita/$ (2018) as of July 1, 2019 | GNI/Capita/$ (2017) as of July 1, 2018 | |
| Comoros | Lower-middle income | Low income | 1,320 | 760 |
| Georgia | Upper-middle income | Lower-middle income | 4,130 | 3,790 |
| Kosovo | Upper-middle income | Lower-middle income | 4,230 | 3,890 |
| Senegal | Lower-middle income | Low income | 1,410 | 950 |
| Sri Lanka | Upper-middle income | Lower-middle income | 4,060 | 3,840 |
| Zimbabwe | Lower-middle income | Low income | 1,790 | 910 |
| Argentina | Upper-middle income | High income | 12,370 | 13,040 |
A solid response 😂 😂Sgr ni sgr tu mjomba[emoji1787][emoji1787]
Nyaya hata kw meter gauge unaweka tu
Na mbona mkashindwa hata baada ya kutia sahihi toka 2018?Sgr ni sgr tu mjomba[emoji1787][emoji1787]
Nyaya hata kw meter gauge unaweka tu
Lakini bro, ukiishi area kama Eastleigh, Zimmerman, Kahawa west, Githurai na akina Umoja hapa Kenya bado uko categorized unaishi kwa "slums", hauja omoka bado., lakini in Tanzania, hizo takataka zao eti sio slums, kwasababu wanalinganisha na Kibera., if akina eastleigh bado ni low life hapa., je Dar sehemu kubwa zaidi itakua ni nini?Eastleigh, watakwambia ni slum lakini ni zaidi ya CBD yao ya tower tatu. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 1838204View attachment 1838205View attachment 1838206
Hiyo picha yenyewe mpaka. Ugoogle halafu udownload kutoka Wikipedia [emoji23][emoji23][emoji23]Hata UG hawana mbwembwe ka nyinyi! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji116]
View attachment 1838270
Kenya sio level yenu kijana. Let me show you more cause imaonekana you can't get your eyes off them.Kunyans wameanza kuonesha school buses
Ni lazima tukubali kuna hatua kubwa imepigwa ukifananisha pale walipokuwa zamani na sasa kwa kweli,ila nimeona kuna changamoto ya uniformity kwenye baadhi ya maeneo ukizingatia hili ni soko la kimataifa na liko mjini kbs na linaweza kuwa soko la mfano pia
Kiikolojia gunia ni bora kuliko alternative labda useme wawe na special gunia kimuonekano! Vingine nakuunga mkono!Ni lazima tukubali kuna hatua kubwa imepigwa ukifananisha pale walipokuwa zamani na sasa kwa kweli,ila nimeona kuna changamoto ya uniformity kwenye baadhi ya maeneo ukizingatia hili ni soko la kimataifa na liko mjini kbs na linaweza kuwa soko la mfano pia
1.MAT- watu wameendelea kutandika magunia kwenye meza zao kijima tu,watafute material mazuri na yafanane kwa wote kutokana na hali ya mazingira
2.BIN- Watu wamejitafutia ndoo baada ya muda kila mtu atakuja na chake!! watafute bin ndogo kwa kila meza na kubwa kwa ajili ya public tena ikiwezekana watenge taka ngumu na vyakula.
3.UPANGAJI WA BIDHAA NA VIFUNGASHIO- Watu wanajipangia pangia tu kuna trays flani ziko poa sana unapanga bidhaa ndani wange-adopt,pia waje na ubunifu wa vifungashio kutokana na aina ya bidhaa husika.
4.Watengeneze Documented Standard Procedure kwa kila activity muhumu inayofanyika ndani ya hilo soko.
as the saying goes.. "interchange ni moja tu☝ tanzania, na iko dar-es-slam"Wakiwaonyesha view nzuri ya barabara zao kama hii view ya barabara DSM mnitag 👇. Enjoy..
nax vegaz is ravaging!. to all naxarese in da house.. cheerz! ✌