Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MOST SCHOOLS HAVE 2 OR 3 BUSES
BUT PRIMARY SCHOOLS ESPECIALLY DAY SCHOOLS HAVE MORE THAN 5.
A SCHOOL LIME MIREMA SCHOOL HAS AROUND 10 BUSESON DISPOSAL
View attachment 1838490
View attachment 1838491
Hapa ndipo huwa naamini Tz imewaacha mbali sn wenzake, yn ukifananisha social services zinazotolewa kwa wenzetu na hizi za kwetu ni mbingu na ardhi, Wakenya wanaofundisha Tz watawaambia ukweli, hivi vitu ni vya kawaida mno huku kwetu, unakuta shule ya kawaida ina buses nyingi za adabu, eti kwenu shule nzima ina buses 3 old fashioned, tatizo Wakenya wa humu hawasemi ukweli hata ambao wanaishi na kufundisha huku kwetu.
 
Mercedes Benz fake! hiyo windscreen hamna bus ya Daimler Mercedes ina kioo cha namna hiyo!
Acha ujinga bana, mashule za Kenya sio maskini kama za huko Tanzania. This is Maseno school, they have a Scania Bus, Mercedes Benz bus and an Isuzu bus. Below is the Mercedes Benz they imported directly from Germany.

3.jpg
 
Lakini bro, ukiishi area kama Eastleigh, Zimmerman, Kahawa west, Githurai na akina Umoja hapa Kenya bado uko categorized unaishi kwa "slums", hauja omoka bado., lakini in Tanzania, hizo takataka zao eti sio slums, kwasababu wanalinganisha na Kibera., if akina eastleigh bado ni low life hapa., je Dar sehemu kubwa zaidi itakua ni nini?

Kuishi hapa kwa hizi flats/appartments bado uko low life.., maybe u live in some few gated housing around.., but ni slum by Kenyan standards.., kina jacaranda, Nyayo, Buruburu., Greenview etc., ndio sawa..,
View attachment 1838651
View attachment 1838652
Funga domo lako, hatufanani
JamiiForums726307756.jpg
 
Back
Top Bottom