Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Napenda venye nakutesa akili, Yani post yangu moja tu ndio inakufanya ulielie kama mtoto mdogo hivi?[emoji23]
Mbn umeifuta sasa, si pesa zako zile auu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
This KDF, the richest army in East Africa.

IMG_20210702_193721.jpg
IMG_20210702_193630.jpg
IMG_20210702_193727.jpg
IMG_20210702_193604.jpg
IMG_20210702_193627.jpg
 
Wale wa kipindupindu ndio unaongelea? Ama unasema wale wenye walikula mapanga kule Congo?
Wale waliouawa 200 na wengine wakabakwa.hamna jeshi ninyi alafu mnanunua vifaa chakavu.jeshi la Tanzania liko smart Sana limekaa kimkakati hatununui vifaa ovyoovyo kama nyie.
 
Wale waliouawa 200 na wengine wakabakwa.hamna jeshi ninyi alafu mnanunua vifaa chakavu.jeshi la Tanzania liko smart Sana limekaa kimkakati hatununui vifaa ovyoovyo kama nyie.
Mtanunuaje vifaa na hamna pesa?😂😂😂 All the weapons you have ni za msaada.
 
Zile za msaada ndio unaongelea ama?
The only reason I'm posting my personal affairs is because you requested for it, next time if you want to see even my leg I won't show you [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-2076830115.jpg
 
Back
Top Bottom