Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daahhhh dunia hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
It's "what makes you" and not "what make you" don't panic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajiabisha wewe mwenyewe na hujui😂😂😂. Anyway nukuelewa, unatamani kujua kingereza, ukitaka nikufunze just say it.
 
Unajiabisha wewe mwenyewe na hujui[emoji23][emoji23][emoji23]. Anyway nukuelewa, unatamani kujua kingereza, ukitaka nikufunze just say it.
We jamaa ni kituko sana [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona uliacha kucheka?
Kwahiyo kwamba the only reason why I'm posting my personal life it's because you requested for it au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We mbwa kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ujenzi wa Msalato airport Dodoma...fidia zinalipwa kwa wananchi waliopitiwa na mradi.

Ujenzi wa ringroad Dodoma...fidia zinalipwa kwa wananchi walio pitiwa na mradi.

Songwe airport ukarabati unaendelea.

Mtwara airport ukarabati unaendelea.
Mtwara port ujenzi unaendelea.

Radar za Tanzania zinacover Tanzania yote.

Radar za Tanzania zinacover nusu ya Kenya. (Hapa mapovu kama yote yatatoka)

Radar za Tanzania zinacover nchi za Rwanda na Burundi pote yaani.

Hizi ni baadhi tu yaani.

Source: WUU

Kazi Iendelee.
 
Kila nikiona Id yako huwa nacheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ujenzi wa Msalato airport Dodoma...fidia zinalipwa kwa wananchi waliopitiwa na mradi.

Ujenzi wa ringroad Dodoma...fidia zinalipwa kwa wananchi walio pitiwa na mradi.

Songwe airport ukarabati unaendelea.

Mtwara airport ukarabati unaendelea.
Mtwara port ujenzi unaendelea.

Radar za Tanzania zinacover Tanzania yote.

Radar za Tanzania zinacover nusu ya Kenya. (Hapa mapovu kama yote yatatoka)

Radar za Tanzania zinacover nchi za Rwanda na Burundi pote yaani.

Hizi ni baadhi tu yaani.

Source: WUU

Kazi Iendelee.
Wacha waendelee kushangaa gari za mashindano sisi tunazidi kujenga nchi tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani namtesa sana sema hamjui tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wacha waendelee kushangaa gari za mashindano sisi tunazidi kujenga nchi tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu hizo ni baadhi tu yaani hata nusu sijafika.

Nilikuwa naangalia TBC 1 kipindi cha siku 100 za SSH waziri mwenye dhamana ya ujenzi alikuwa anaongea.
 
Kisumu. See how Kenyan cities have clean and marked roads contrary to the muddy roads in Tz cities.
FB_IMG_16251739757948367.jpg
FB_IMG_16251739656004208.jpg
FB_IMG_16251739857956468.jpg
 
Back
Top Bottom