komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwao vitu km hvyo ni story tayari kw youtubers waoMkuu, hii Globe Master 3, utaipost mara ka zote, tumeiona. Vipi, hamjazoea kuona madude ka hayo?![]()
![]()
![]()
![]()
Kwao vitu km hvyo ni story tayari kw youtubers waoMkuu, hii Globe Master 3, utaipost mara ka zote, tumeiona. Vipi, hamjazoea kuona madude ka hayo?![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli. Yaani ukitiwa doa tu, tena iwe inahusika na serikali, Duh, watakupa chenga na awards zao, wale wazungu! 🤣Ndio pale mwanzo nikamwambia nomination ya BET inategemea na management yako iko vipi
Nimeona pale anapokazia kwamba reli yetu ndio bora barani Afrika.Mkuu hizo ni baadhi tu yaani hata nusu sijafika.
Nilikuwa naangalia TBC 1 kipindi cha siku 100 za SSH waziri mwenye dhamana ya ujenzi alikuwa anaongea.
Hongereni naona na nyie mna electrified railway










Duh ona ushuzi huoNowadays wamebaki na mdomo tu baada kugundua jiji lao level za mombasa
View attachment 1838197View attachment 1838198








Hizo ukivuka border ukaja KE, zinatosha kwenye wallet ya kwangu!The only reason I'm posting my personal affairs is because you requested for it, next time if you want to see even my leg I won't show youView attachment 1838103
Usigeuze magoli, mlisema electric sgr mnayo nyie pekee Africa nzima, akakupa mfano. 😂 😂 😂Hongereni naona na nyie mna electrified railway![]()
Hao akina 50,luda walikuwa bora kwa wakati wao,lakini sasa kuna wengine wanaotamba nyakati hizi,mondi ni bora na hakuna anayemfikia hapa east afrika50 c, Luda, Papoose nk nk, wote hao hawakuwa nominated, wataka kusema ni watupu? 😂 😂 😂 Pale BET siasa tupu, ndo maana mlipoanza kumtilia fitina Mondi kisa ni rafiki wa serikali etc, akaambulia patupu.
Huyo Burna boy anatambua wapinzani wake waliokuwa katika category na kakiri kabisi diamond alimuumiza kichwa,na hatambui nonini wala mejaNdio nikamuuliza hyo jamaa anayeshobokea nomination ya BET, we ukitaka kuheshimika chukua AWARD ndio uje utunishie watu misuli km african giant mwnywe(Burna boy)
Hiyo ni kukuambia kwamba wewe ni mjinga 😂😂😂, kwa akili yako ulidhani MGR haiezikuwa electrified.Hongereni naona na nyie mna electrified railway![]()
Wapi penye alikakiri?😂😂😂Huyo Burna boy anatambua wapinzani wake waliokuwa katika category na kakiri kabisi diamond alimuumiza kichwa,na hatambui nonini wala meja
Ameumia, ukipata concrete jungle kama hii mitaani kwenu nitag.Duh ona ushuzi huo![]()
Hajaanza leo huyo, km we ndio unafikiria alianza leo kuwa na wapinzani katika hzo tuzo basi kajipange upya..manake jamaa kachukua mara tatu mfululizo na wapinzani tofauti tofauti, eti diamond alimuumiza kichwaHuyo Burna boy anatambua wapinzani wake waliokuwa katika category na kakiri kabisi diamond alimuumiza kichwa,na hatambui nonini wala meja

Do hata jay z alikuwa anawa-mind sana migos kwa ile style yao ya flow,tena akafika mbali sana kwa kusema migos yaani akina quavo na offset wanaharibu na kuiua hip-hop,ma-rapper wengine akina diddy,nas wakasema game imebadilika nowadays sio ka zamani,madogo wanaflow kama game ya sasa inavyotaka,unajua jigger alikuwa anawapinga sana migos,baadaye akakubali mwenyewe na akawachukua na wakamtengenezea ile ngoma ya " apeshit" aliyoimba na mama blue ivy,ile ngoma iliandikwa na offset hadi flows..kwa hiyo game hubadilika akina jigger walikuwa bora kwa wakati wao,lakini sasa madogo wanatambaWTF, Lil baby ako sawa, lakini kimistari ya kizee hamfiki KD hata robo. Lil baby is just a "rapper-rapper", but KD is a fkng "Lyrical Master"! You feel me? 😂 😂 😂
Dogo hiyo ni kauli yake mwenyewe baada ya kuchukua tuzo,sie mziki tunafuatilia dogo haturopoki hovyo..Hajaanza leo huyo, km we ndio unafikiria alianza leo kuwa na wapinzani katika hzo tuzo basi kajipange upya..manake jamaa kachukua mara tatu mfululizo na wapinzani tofauti tofauti, eti diamond alimuumiza kichwa
Hyo ataumizwa kichwa na watu wanaomiza vichwa kutoa kazi zao wala sio watu kuunga unga kutoka hapa na pale
Hehehee!!burna boy baada ya kutajwa reaction yake uliiona kweli, au ndio wale jamaa akitamka kitu mbele ya umati basi kapenda..Dogo hiyo ni kauli yake mwenyewe baada ya kuchukua tuzo,sie mziki tunafuatilia dogo haturopoki hovyo..
Wewe unadhani supplies + rotation zinafanywa na commercial planes na Waamerika na Britons??? 😂 😂 😂 👇 Tulizoea vitu hizo, hadi parking wakonayo, wacha nyie imekuja siku kadhaa alafu itoke, huku zinakuja kufanya kazi! 🤣 🤣 🤣Hili dude lingetua kunyaland kusingetosha hapa jukwaani
Halafu kama umewahi kubahatika kuwa karibu na msanii yoyote yule umuuluze thamani ya kuwa nominated kwenye international awards, dogo ukiachana na kuchukua tuzo,kitendo tu cha kuwa nominated, ina maana kubwa sana kwa musician na kazi zake ilo uelewe,maana naona ukilaza unakuzidia..Hehehee!!burna boy baada ya kutajwa reaction yake uliiona kweli, au ndio wale jamaa akitamka kitu mbele ya umati basi kapenda..
Mambo mengine tunaita kutiana moyo mayb next time jamaa atatia bidii..
Ile siku domo ataacha kuunga unga kazi zake sijui kutoka hku na kule na kuziunganisha basi atachukua BET, hii kauli yangu utaikumbuka mzee