Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Kwani ulitaka those terrorists to inform you that they coming?😂😂Walivamia mara moja kwa kushtukiza tena usiku kwenye kijiji cha mpakani lakini walichofanywa hawatarudi mpaka kesho lakini alshabab wanawaua wakenya kila siku.
