Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongelea south africa ya nn wakat world bank wanasema muna umaskini kuliko zimbabwe 😂😂😂😂
Hiyo umasikini unaongelea ilipimwa kwa kiwango cha dola tatu kwa siku na ndio tukapatikana watu 20.8m. Nyinyi kipimo chenu ni cha dola moja kwa siku na ndio mko watu 28m. Jiulize hali ingekuwaje kama mngepimwa kwa kiwango cha dola tatu kwa siku kama sisi. Vitu zingine ni kutumia tu akili, sio kutoa povu na kujifanya hamnazo!
 
City of Angels can't get no strangers
E5L6ziaXoAIRxYZ.jpeg
 
Hile umaskini yenye iko Tz ni ya kutisha, yani basi moja is being shared by Nursery school, primary school, secondary and college?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787].

See how Kenyan school have big buses.

View attachment 1838468View attachment 1838469View attachment 1838470
Vitu vingine vinachekesha sana tazama ilo basi mtu anajisifu nalo [emoji3516][emoji3516] [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Najua ukweli huwa inawauma. Hata tukiwa honest kidogo, how one bus be used by nursery, primary, second and college school? Ni pesa ndio mmekosa ama Nini?😂😂😂
Nitajie hata kituo kimoja cha stendi mkoa wowote ule 🙂usituletee bla bla hapa we pamoja na wakunya wenzako maana tunajua Hali yenu kwa ground 🙂
 
Back
Top Bottom