Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila siku tuliwaambia sisi tz shule inatusaidia, sisi tuna elimu bora, mnakaza mafuvu, now look, tunawafundisha uongozi Afrika nzima, na mara hii tumechaguliwa tena kuwafundisha udaktari mataifa yote yaliyopo chini ya jangwa la Sahara . Sisi sio size yenu
 
Na hizo medals zote ni za kukimbia a.k.a mchezo wa kitumwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I'm happy to see you weep😂😂😂, Kenya is the only country in Africa along with SA to win a World trophy 😂😂🤣🤣👇👇

AB1U5351.jpg


kenya-singapore-sevens-kenya-7s-kenya-rugby_3450658.jpg
 
mlifanya sensa juzi tu sasa iweje ubaweka figure ya kighushi? Yani kila kitu lazima mkipike[emoji3][emoji3][emoji3]
Nchi ndogo Mko zaidi ya watu milioni 50...
Tz sensa mara ya mwisho ilifanyika 2012 kwahyo inakadiriwa kufika watu milioni 60 pia yaweza isiwe 60 ikawa chini

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Tofauti ya Kenya na Tz kwa population ni 4-5 million
 
Mwenzako huyu Don YF aliambiwa kwa sasa estimated population in Kenya ni 53m ppl, yeye akabisha akidai kutoka kwenye vyanzo vya serikali kenya population ni 45m ppl, mimi nakuagiza uangalie mara ya mwisho sisi kufanya sensa 2012 tulikua na watu wangapi.? Hizo 60m ppl pia ni estimation tu, huenda tukifanya sensa tusifike hiyo number
 
Post ya Nicxie imekuumiza kweli, Yani post moja unaquote mara ishirini🤣🤣😁😂. Nicxie ebu post tena zile picha 🤣🤣
Yani nimecheka mpaka basi anafananisha nyumba za dar zenye ubora 🤣🤣🤣 kipinfi cha nyuma alikua akiisema sana tandale nilipokwenda kumuinesha vitu kwa ground tokea siku sijaskia akiitaja tandale 😂😂
 
Back
Top Bottom