Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa nime cook nini hapa.
this is the official report from Kenya National Bureau of Statistics (knbs) View attachment 1836328
Wewe Huu Ni mwaka gani? Stat za miaka 2 iliopita buda? Hampungui 53M
Screenshot_2021-07-01-08-34-48.jpg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wewe Huu Ni mwaka gani? Stat za miaka 2 iliopita buda? Hampungui 53MView attachment 1836341

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
underline the word., "estimated" not actual figure or factual., meaning it is hypothetical., after the research, actual figures gave a different number than the estimated one.., hope unaelewa English vizuri na research terms.,
 
Kwenye suala la pop siku zote hua Ni est kwasababu watu huzaliwa na kufa kila siku,ila kikubwa ni kwamba wanakadiria ongezeko kwa mwaka plus sensa ya mwisho actual no ilikua wangap...
Kingereza nakielewa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kwenye suala la pop siku zote hua Ni est kwasababu watu huzaliwa na kufa kila siku,ila kikubwa ni kwamba wanakadiria ongezeko kwa mwaka plus sensa ya mwisho actual no ilikua wangap...
Kingereza nakielewa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
with Kenya's actual figures from latest census data that has been availed here, and the estimated annual population growth, what will u say is the current estimation of Kenya's population as at now?.., do the maths uone..,
 
Nairobi developed area(towns) is far bigger than Dar es salaam developed area!., Dar ni udongo tu, population na makazi uchwara ndio ukubwa wake., but towns.., nope!!..,
Okey nikubaliane na wewe wala haitadhuru kitu...Dar kwa sasa uwekezaji mkubwa unaofanyika ni wa infrastructure 7bu ya kurahisisha usafiri na usafirishaji...
Hata Mimi nimeona uwekezaji Huo ukibadili mji kwa kasi sana...
Kingine unlike Nairobi Dar ni mji wa watu wa sina zote...sema tu kuna maeneo ili uweze kupamudu lazima kipato chako kiwe kikubwa...
Uko kwenu sababu ya kua na heavy traffic ni kwasababu watu wanakaa nje ya naiobi wengi huja kufanya kazi na kurudi makwao...Najua mnamatatu mengi sana sana sana huku Dar Jun maisha ya aina yote

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
with Kenya's actual figures from latest census data that has been availed here, and the estimated annual population growth, what will u say is the current estimation of Kenya's population as at now?.., do the maths uone..,
Your Latest report availed 47M pop which was 2 yrs ago...now drop me your annual pop growth rate so that i can do the math

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Okey nikubaliane na wewe wala haitadhuru kitu...Dar kwa sasa uwekezaji mkubwa unaofanyika ni wa infrastructure 7bu ya kurahisisha usafiri na usafirishaji...
Hata Mimi nimeona uwekezaji Huo ukibadili mji kwa kasi sana...
Kingine unlike Nairobi Dar ni mji wa watu wa sina zote...sema tu kuna maeneo ili uweze kupamudu lazima kipato chako kiwe kikubwa...
Uko kwenu sababu ya kua na heavy traffic ni kwasababu watu wanakaa nje ya naiobi wengi huja kufanya kazi na kurudi makwao...Najua mnamatatu mengi sana sana sana huku Dar Jun maisha ya aina yote

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Infrastructure development is the current trend across many African countries, not Tz alone, pia Nairobi na Mombasa, infrastructure ya kurahisiha usafirishaji inaendelea and it is transforming the city, like the impact Thika super highway brought along Thika road, the bypasses zime course tremendous development along the routes., the developed area ya Nairobi is far bigger than Dar es salaam, kiukweli., drone clips will prove that effectively., or wide angle aerial view. Lately, Dar ime slow down on commercial building developemnt, I dont know why? nijuze kulikoni? even before covid, the slow down was evident..,
 
It's not "they are not good in" it's "they are not good at" just update ur English.
Lazy witch. Wakati wenzako wako busy kupata medals in sports nyinyi mko busy na uchawi. Look at these two tables 😂😂😂

Kenya is the best sporting country in Africa.

Sports-01-724x1024.png

Tanzania is the most satanic nation in the world.

gsi-chp4-3.png

Ta
 
Infrastructure development is the current trend across many African countries, not Tz alone, pia Nairobi na Mombasa, infrastructure ya kurahisiha usafirishaji inaendelea and it is transforming the city, like the impact Thika super highway brought along Thika road, the bypasses zime course tremendous development along the routes., the developed area ya Nairobi is far bigger than Dar es salaam, kiukweli., drone clips will prove that effectively., or wide angle aerial view. Lately, Dar ime slow down on commercial building developemnt, I dont know why? nijuze kulikoni? even before covid, the slow down was evident..,
Hayati aielekeza zaidi kwenye uwekezaji wa viwanda ukumbuke majengo makubwa ni ya taasisi za serikali...mfano kuna kiwanda cha viatu kule moshi,kuna kiwanda cha sukari kinajengwa Moro pamoja na sina nyingine za uwekezaji kama izo..kingine serikal ilivyohamishiwa Dodoma nguvu kubwa imeelekezwa uko esp kwenye suala la majengo....Dar imebaki na wafanyabiashara zaidi serikal imehama...ila kwavile Dar ndio kitovu tutegemee hali kurudi Sawa muda wowote

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Na hizo medals zote ni za kukimbia a.k.a mchezo wa kitumwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I'm sorry witchcraft is not part of any sport, kungekuwa na mchezo was kichawi I'm sure mngekuwa na more than 1000 medals.
 
Back
Top Bottom