Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nicxie yani unafananisha nyumba za dar tena nzuri zenye ubora na zina nafasi ya kutosha 😆😆😆😆

yani uwe na akili zaidi kuliko mzungu mwenye sattelite 😂😂😂

Unakumbuka time flani mwaka jana ukikana hii picha ya Kipawa Ward Dar na kusema si Dar?
Screenshot_20210630-224339~2.png

Bado utaendelwa kuikana leo pia? Ona hizo nyumba nzuri za kupendeza macho tena zenye ubora ya hali ya juu zilivyopangwa zikapangika! Kisha angalia jinsi kuna nafasi ya kutosha hadi watu wameegesha magari zao nne ya milango zao. Maisha uswazini inapendeza jamani!
 
Back
Top Bottom