Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani tofauti Kati ya hizi picha mbili ni kama usiku na mchana.😂😂😀

View attachment 1836121View attachment 1836122
Nyumba za dar ni za block tena kwa ground ni nzuri sana 🤣🤣🤣 siku hzi ndugu yako haitaji tena tandale baada ya kumletea videos mpaka leo anaiheshimu tandale 😂😂😂 yani mzungu awe mjing kuliko wewe
9D293EDC-6DB0-46C5-BFA3-DA378DCE9DAA.jpeg
 
Unakumbuka time flani mwaka jana ukikana hii picha ya Kipawa Ward Dar na kusema si Dar?
View attachment 1836123
Bado utaendelwa kuikana leo pia? Ona hizo nyumba nzuri za kupendeza macho tena zenye ubora ya hali ya juu zilivyopangwa zikapangika! Kisha angalia jinsi kuna nafasi ya kutosha hadi watu wameegesha magari zao nne ya milango zao. Maisha uswazini inapendeza jamani!
Na ruhusiwa kuzoom 🤣🤣👇👇👇👇
Yani mzungu awe mjinga kuliko mkenya
Siku hzi sioni ukipost tandale 😂😂😂
24A4BBB2-4F05-45B4-BF96-1C224A4FF49B.png
 
Yaani jeshi la Congo lile ninalolijua mimi limewazidi wakunya kwa ubora!????..ndo maana si ajab kuona wanajeshi wa Kenya wakidondoka na parachute mbele ya raisi

Usiwalaumu mkuu 🤣🤣🤣, nyakati nyingine wanakuwa katika operation za kijamii zaidi. Mfano hapo chini wameenda kuteka maji ya kutumia jikoni kwa kupikia.

2811930_images_-_2021-06-18T104843.945.jpeg
 
Unakumbuka time flani mwaka jana ukikana hii picha ya Kipawa Ward Dar na kusema si Dar?
View attachment 1836123
Bado utaendelwa kuikana leo pia? Ona hizo nyumba nzuri za kupendeza macho tena zenye ubora ya hali ya juu zilivyopangwa zikapangika! Kisha angalia jinsi kuna nafasi ya kutosha hadi watu wameegesha magari zao nne ya milango zao. Maisha uswazini inapendeza jamani!
Hapo nilipopigia mstari panachekesha 😂,halafu huyo jamaa kaziorodhesha slums za nbo tu hapo 😂

Screenshot_20210701-110759_Twitter.jpg
 
Warusi na waukraine hii july wamefungua tena route ya zenji,mkuu sikufichi itakua disaster kwa hao jamaa walivyotokea kuikubalia blue safari ya zenji,hao kwa siku kupokea watalii 400 ni kawaida itakua,zenji ijiandae hasa neema inakuja
 
Yani nimecheka mpaka basi anafananisha nyumba za dar zenye ubora 🤣🤣🤣 kipinfi cha nyuma alikua akiisema sana tandale nilipokwenda kumuinesha vitu kwa ground tokea siku sijaskia akiitaja tandale 😂😂

Gentrification is taking place at higher pace in many places in Dar es Salaam.
 
Hapo nilipopigia mstari panachekesha 😂,halafu huyo jamaa kaziorodhesha slums za nbo tu hapo 😂

View attachment 1836453

Nikiangaliaga picha kama hizi, huwa najizungumzia mwenyewe kuwa "this world is not fair". Huwezi amini kwamba, watu wanaoishi kwenye eneo hilo wako ndani ya nchi inayojiaminisha kuwa ni nchi tajiri. Ni aibu sana.
 
Back
Top Bottom