Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GM huwa hawatengenezi cadillac za RHD labda iwe special order au upate gereji za kubadilisha.
Wacha ujinga wewe! La sivyo useme UK, Australia, Japan, UAE na nchi zoote za common wealth hazitumii magari ya GM! Unajua mi si level yako ya kudanganyana huko Tandale! BTW unajua ISUZU, Chevrolet, Jeep ni GM pia? Na DT Dobie ni dealers pia?
 
IMG_0037.jpg
 
Wacha upumbavu
Hiyo kampuni siyo part ya General Motors bana, ni kagereji tuu hako.

Believe me GM hawatengenzi Cadillacs za RHD, kutoka kiwandani. Hii ni kwasababu soko la Cadillacs na GM trucks (Chevy na cadillac SUV) halijawahi kuwa nje ya US. Ndiyo maana nikakwambia lazima iwe special order au gereji binafsi ifanye hayo maboresho bila ya kuwa affiliated na manufacturer mwenyewe.

We hujiulizi kwa nini url hiyo (autogroupinternational.com) haina hata brand name ya general motors au cadillac?
Acha ujuaji Geza.
 
Kadanganye wapumbavu wenzio wa Tandale!
 
What about USA or JAPAN DEBT,do your research!
Kwahiyo leo mnajilinganisha na USA au Japan nchi ambazo mapato yao ni makubwa mara bilioni ya pato lenu? Nchi ambazo wana bajeti za miaka 10 hata kama uchumi ukisimama so unajifananisha na nyie ambao uchumi ukisimama dk1 tu hata uji hampati? Hii mental laziness itawatoka lini nyie wapuuzi?

Yani deni la Kunyaland ukafananishe na deni la USA inaingia akilini hiyo? Yani Bakhressa kwasababu ana deni kubwa kuliko maskini wa kawaida ndo ukamfananishe Bakhressa na maskini hivi unajisikia ushuzi unaoongea wewe mkunya
 
What about USA or JAPAN DEBT,do your research!
Na mbn USA au Japan hawana njaa ya chakula sasa kama nao wana madeni km nyie, mbn hawaletewi misaada ya chakula, mbn bajeti zao hazisaidiwi km yenu?ukipata jibu nadhani ndo utaelewa kwnn Tz mnaizidi kwa GDP lkn inafanya miradi mikubwa kwa pesa ya ndani lkn nyie hata kilomita tano za barabara lazima msaidiwe
 
What about USA or JAPAN DEBT,do your research!
First of all, don't ever compare any aspects of economy to those countries,
Secondly majority of their debts are internal, the govs owes internal parastatals, banks, organisations atc, even when they pay the money remains within their economy with negligible negative implications, unlike a poor country like kenya that pays huge interests to china, wb, imf and other countries.
 
Kuna uzi nimeupitia wakenya wanaoneshana magari ya mashindano. Hakika wakenya ni washamba mno. Huku Azam TV kuna Rally kila kona ya Tanzania. Nimewadharau na kuwahurumia, hawana exposure.

Sisi Tanzania tunaongelea hata:-

Wako bize na petty issues wkt kina Kenyatta wanazidi kuimaliza ardhi yao kwa kuipora
 
Back
Top Bottom