Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eeh, kule South Africa turtles wanaitwa dolphins.
Wacha kulazimisha mambo. Dolphins are dolphins and turtles are just turtles. These are totally different creatures with different characteristics
 
Wacha kulazimisha mambo. Dolphins are dolphins and turtles are just turtles. These are totally different creatures with different characteristics

Ngoja nikupe shule kidogo.
Hao sio turtles (Kobe) hao ni Sea turtles (Kasa).

Kuna tofauti kati ya turtles unayoiandika hapo na Sea turtles waliopo kwenye hiyo tweet.

Turtles wanaishi nchi kavu, Sea turtles wanaishi kwenye maji.

Halafu nashaangaa unaniletea makasiriko wakati account iliyopost hiyo tweet unaiona hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mamaee!!BAKITA mnayoishadadia imeanza 1981[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hyo 1890 kawadanganye wakulugwa

Tena unajua maana ya official language[emoji1787][emoji1787]
Kamfundisheni spika wenu kuhesabu tarakimu kwanza ndio mje upya
Kama katika wakenya zaidi ya million 55 ni million 1 tu ndio wanajua English, kiswahili itakuaje? 😅😅😅 Ninyi ni wakugaluga waporipori ndio maana mpo so primitive hata lafudhi yenu it's so bushy
 
Umekasirikaee[emoji1787][emoji1787]
Kenya tunatumia kiswahili chetu, tunatumia kile kiswahili ambacho mababu zetu walikitumia tokea enzi za sultan katika mwambao wa pwani..
Poleni sana na "BAKITA" wenu na "swala" wenu
Hata Mozambique wana kiswahili kabla yenu, DRC wana kiswahili kabla yenu tena wanaongea vizuri kuwazidi mungiki wote
 
Sasa hao sea turtles wamegeuka wakawa dolphins? Mbona unajifanya mjuaji na hakuna unachokijua?
 
Sasa hao sea turtles wamegeuka wakawa dolphins? Mbona unajifanya mjuaji na hakuna unachokijua?
Sasa unaponiletea makasiriko ni mimi ndio nimeandika hiyo tweet?

Sidhani kama akili yako iko sawa.

Nimeandika "Mademu wa SA wanapaelewa sana Zanzibar." nashangaa nageuziwa kibao kuwa nimesema hao ni dolphins [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Slutani ndio unamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…