Kwamba kenya ina three level interchange 🤣🤣🤣🤣 siku hzi hamuibi tena picha ya interchange ile ya ethiopia ???Hoja zimemuishia huyu, vaa chupi chanjo ushapata 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 We mpuuzi sio swara ni Swala chukua hilo neno gazelle libadilishe kwenda kiswahili utapata kitu kama hiki hapa 👇..Bwahaha!!we msukuma ndio wa kumfundisha kijana wa pwani kiswahili[emoji1787][emoji1787]naona imekuumaee, kalia cha kati mzee km imekuuma sana .
Eti jamaa nalo linajiskia lina akili kumbe kamasi tu, pangua hyo mzee km wewe bingwa sana la kiswahili..
Hamuwezi kutuharibia lugha kw lafudhi zenu za kipuuzi[emoji1787][emoji1787]View attachment 1825869View attachment 1825870
"Black mamba" na wauzaji khawaha/Alqasus, CBD ya Bongo! 😎Mikokoteni inafanya delivery mpaka CBD? View attachment 1825525
kweli ushamba ni mzigoAnaglia machine hiyo, hio roll cage hapo ndani imechomelewa na vyuma vya reli.
View attachment 1825876View attachment 1825877
Achana nalo hilo. Ujinge umejaa kichwani. Wakenya asilimia kubwa wapo hivyo.😂😂😂 We mpuuzi sio swara ni Swala chukua hilo neno gazelle libadilishe kwenda kiswahili utapata kitu kama hiki hapa 👇.. View attachment 1825894 .. hakuna neno Swara kwenye lugha ya kiswahili we mwehu .. usibashane na Mimi kabisa kuhusu kiswahili, haujui chochote nimekwambia .. Alaf hii mikunya inashida gani.? hiv kweli we mwehu ubishane na mimi ambae kiswahili ni lugha yangu ya taifa .? MAAJABU YA MWAKA HAYA.. Nakwambia tena ukijiona unajua kiswahili nyoosha kidole jifanye kama unajikuna nikuulize maswali.. mbona rahisi tu we kocho
alafu na shangaa sana na hii tzdi, yani tu Ubungu interchange moja tu!. ndo watakua wakibweka nayo kila leo... wakijua tu kenya tuna ngapi?, ata kando na nairobihii ni wewe.. then we have Underground, Ground level and Upper level.. Pangani interchange hii. nugu wewe🙉 View attachment 1825886
Eti watu[emoji1787][emoji1787]Wewe naona unamatatizo yako binafsi. Huoni hata wakenya wenzio wamekuchunia.
Tafuta Kamusi ya BAKITA
Download APP hapa:-
![]()
Kamusi Kuu ya Kiswahili - Apps on Google Play
Kamusi Kuu Ya Kiswahili app is a Kiswahili digital dictionary of Longhorn.play.google.com
Hatuna neno swara kwenye kiswahili. Hizo kamusi zako uchwara ni upumbavu.
Utaanzaje kubishia watu wanatumia kiswahili kila Siku!?
Ndio wako slow lakini kazi pia nikubwa sana. Hio barabara inachallenges nyingi sana hasa ya landscaping. Mfano hapo mikindani interchange walichimba mpaka sijui metre ngapi alafu wakafunga machuma mpaka juu. Sasa imagine kila baada ya metre chache kazi ni hii so lazima ichelewe.Kwn mzee, hii bado ni ile ile project moja ya kuelekea mpka mariakani kabisa..
Hii barabara ni noma sana, kuanzia 2019 jamaa walikua wanaichimba mpka leo kazi inaendelea tu..kwn tatizo nini manake kw maoni yangu wako slow
Msaidie mwenzako[emoji1787][emoji1787]Bro unapoteza muda wako na nguvu zako kubishana na hilo dudu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti watu[emoji1787][emoji1787]
Nenda kafute hyo bendera yenu hapo kw translate uweke somali..
Tatizo R na L ziliwachanganya mpka mkaamua kuamini km wanaitwa hvo..pole sana mzee
Ubungo ndio three level interchange so far ni lazma ushangae sio ombi 😀😀😀 munayo ngapi hebu tafuta three level ukipata nitagalafu na shangaa sana na hii tzdi, yani tu Ubungu interchange moja tu!. ndo watakua wakibweka nayo kila leo... kwani kenya tuna ngapi, ata kando tu na nairobi
Kazi yako ya nursing umeshaacha. Nenda kaoshe vidonda vya wangonjwa.Eti watu[emoji1787][emoji1787]
Nenda kafute hyo bendera yenu hapo kw translate uweke somali..
Tatizo R na L ziliwachanganya mpka mkaamua kuamini km wanaitwa hvo..pole sana mzee
Naona mnajipa matumaini, eti hakuna neno swara...ugua pole poleAchana nalo hilo. Ujinge umejaa kichwani. Wakenya asilimia kubwa wapo hivyo.
Sai nipo night shift, unaweza katiza na hku nikusafishe yale makovu yako makalioniKazi yako ya nursing umeshaacha. Nenda kaoshe vidonda vya wangonjwa.
Nenda kaoshe vidonda vya wangojwa.Naona mnajipa matumaini, eti hakuna neno swara...ugua pole pole View attachment 1825905
Kwahio hii hutaki sio ama hapa pia ni ethiopia🤣🤣🤣Kwamba kenya ina three level interchange 🤣🤣🤣🤣 siku hzi hamuibi tena picha ya interchange ile ya ethiopia ???