Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Can't wait for this 😍❤️ the Safari rally is in Kenya

FB_IMG_16238187262387752.jpg
 
Jinsi stendi za bongo zilivyopana , mvua ya upepo ikipiga maji yanaingia hadi ndani sasa hawa wenzetu na vistendi vyao vyembamba sipati picha na kingine brt buses zitakua zinapishan vipi 🤔 wakati lane yenyewe moja tuu

Bora wangeendelea na mpango huo hapo chini. Kweli nimeamini, ukitaka kuona BRT kituko duniani, nenda Nairobi.

06CB9478-D29A-4054-A950-F5504E49C359.jpeg
 
ah! mmeanza kulia lia mapema na ndo mradi unaanza...hatuwezi kuwaiga nyinyi na hiyo brt yenu iliyofeli View attachment 1820116
Wacha kujidanganya ile viaduct yenyu ya Express Highway haina hii design! hii umenyofoa hapa !!
Chengdu BRT station!
Kumbe nawe bado unaenda **** vichakani!!

Yakwenyu inakaa hivi!
2792620_IMG_20210530_072229.jpg



Yaani hapa mlishindwa kumbana Mchina aka-clear enough height space btn pedestrial overpass na viaduct? Mtaacha lini kwenda **** vichakani?
 
Nimeona kwenye title wameandika conceptual. Je, lengo lako ni nini maana zipo concepts zaidi ya billion nane hapo Kenya, huku implementation zake zikibaki kwenya laptop ya Mama Ngina.
hivi huoni hio design ndo inajengwa pale thika road? ?
 
Back
Top Bottom