Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Germany & Budapest 😂😂😂 usiwe mshamba sana!Mwendo wa tofali kwenda juu 🤣🤣🤣ila wachina 🙌🙌🙌🙌🙌View attachment 1820966View attachment 1820967
Germany & Budapest 😂😂😂 usiwe mshamba sana!Mwendo wa tofali kwenda juu 🤣🤣🤣ila wachina 🙌🙌🙌🙌🙌View attachment 1820966View attachment 1820967
Huyu anapenda arguments za kitoto, nilimshtukizia kitambo.Naona anailiza eti ile flyover ya Kobdele Kisumu inabeba nagari mangapi kwa siku. This nig**r doesn't even know that the essence of building an interchange is to enable free-flow of traffic in a busy junction to avoid snarl ups. Yani hata yeye hajielewi
gani supuu.. hini nbi. 6:30pm
Bwahahaa!!wao wanajenga kuangalia mahitajiHata uwanja wa ndege kule Chato naona walijenga wakizingatia mahitaji ya maeneo yale!![]()
![]()
![]()
![]()
Kila kukicha wanalia waachiwe wakulima kuanika mpunga pale!
![]()


Haikuwekewa future iwe na brt kwn hyo inayojengwa ni nn?Ngoja nikupe somo brt yetu ilivyo simple,brt yetu ina vituo vikuu vi5,yan vituo zinapoanzia route na zinapoishia,kimara,ubungo,morocco,k'koo na kivukoni,ilivyo simple iwapo natokea kimara naelekea kivukoni na kimara sijaikuta gari ya kivukoni,napanda basi lolote nitakalolikuta kama la morocco au kariakoo,coz najua nitashuka magomeni au fire,pale nitapata basi inayoenda kivukoni inayotokea morocco au ubungo kwa nauli yangu ile ile,au lah naweza kupandia kivukoni nikawa labda sijapata seat,kufika fire naliona bus linalotokea k'koo kwenda kimara lina abiria wachache,naweza kushuka kwenye lile nilitoka nalo kivukoni ambalo sikupata seat nikapanda linalotokea k'koo ambalo lina seat,ninapokata tiketi ile itakua invalid nitakapotoka nje ya kituo tu,sasa hiyo ya kwenu lenye vituo vya kushukia na kupandia separate hiyo huko kwenu itakua ya kwanza kuisikia,kiukweli mnakurupuka hiyo thika road aikuwekewa future ije kuwa brt,sie wenzenu 95% ya barabara zetu toka enzi ya mkoloni tuliacha reserve ya brt na watembea kwa miguu


Jamaa yani hata kujitetea hajui, sasa pale second largest city inajitosholezaje na wakati ina vitu kibao ina luck sana sana upande wa barabaraAnatuambia eti Mwanza inajitosheleza. And mind you this is their second biggest city. Ni kama kusema Dar pia ilikuwa inajitosheleza until one year ago when it had its first ever interchange. Hawa watu kwa visingizio hawajambo
Kwani huko kwenu Meru,TZ, hapaishi Wameru😃Hivi huko 'ukambani' hakuna geographical name lisilohusiana na kabila? Wakenya ni wakabila mno, mnavyopaita ukambani maana yake hakuna kabila lingine wanaishi humo? Village mentality
Wivu😆Shika hii Unyonye🍼💉
Yaleyale Tulisema tu😆 TZ wanajenga majumba atleast Nzuri karibu na main road,Huko nyuma kumejaa upupu🤣🤣🤣🤣🤣Dar isikunyime usingizi 🤣🤣 jengeni nairobi bado sana mzee
Na hii ni magomeni mapipa na mikumi tu bado hata robo ya magomeni hatujafika 😂😂😂😂
View attachment 1820950View attachment 1820951View attachment 1820952View attachment 1820953View attachment 1820954View attachment 1820956
🤣🤣🤣🤣🔥🔥Majengo ya serekali mbele kidogo uswazi kuruka![]()
Hio ndio interchange ya kenya standards 🤣🤣 is that interchange au overpass??
Staki mipasho mimi sema tu hakuna 🤣🤣🤣Hio ndio sehemu maskini wa kenya wanaishi au sio 🤣🤣🤣🤣 na wale 2.5m kibera ni sokwe na nyani au sio
They say old is gold.
The good old Buru Buru. Still looking better and better.
View attachment 1821009View attachment 1821010
Dah ila kusema ukweli nchi yenu ni chafu sana







Sasa unatuonesha hilo soko na barabara ama ju sioni density.Dar isikunyime usingizi 🤣🤣 jengeni nairobi bado sana mzee
Na hii ni magomeni mapipa na mikumi tu bado hata robo ya magomeni hatujafika 😂😂😂😂
View attachment 1820950View attachment 1820951View attachment 1820952View attachment 1820953View attachment 1820954View attachment 1820956
Toka hapo baba ndogo slum utoe tongo tongo,dunia nzima nchi zilizo brt,ukikata tiketi inakua na masaa kabla ya kuwa invalid,tiketi yako moja unaweza kuunganisha hata buses 5Haikuwekewa future iwe na brt kwn hyo inayojengwa ni nn?
Alafu km ni hvo mumefeli sio kw ubaya, yani mabasi yanapiga km matatu
Khee yani unashuka unaunganisha aisee
Kumbe brt zenyu ni za kukata ticket pekee, damn, na huku mnaringa. Wacha chai sasa, from my experience, brt hutumika smart cards 99% the 1% ni ya wale wa temporary, wasiokuwa na haja ya cards, i.e tourists nk..Toka hapo baba ndogo slum utoe tongo tongo,dunia nzima nchi zilizo brt,ukikata tiketi inakua na masaa kabla ya kuwa invalid,tiketi yako moja unaweza kuunganisha hata buses 5
nbi is killing it!
Mpuuzi hyo, nilitaka kumuuliza km hukuitumia jeKumbe brt zenyu ni za kukata ticket pekee, damn, na huku mnaringa. Wacha chai sasa, from my experience, brt hutumika smart cards 99% the 1% ni ya wale wa temporary, wasiokuwa na haja ya cards, i.e tourists nk..
NB-tickets haziwi na masaa Labda zenyu tu. Ticket ukinunua ni kama umechukuwa distance flani, so hata kesho yake unaweza itumia hiyo ticket kama hukusafiri. Haiwi invalid sababu bado haijawa registered kwa system. Tuko kijijini uingie duniani, utoe togotogo!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()