Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kujidanganya ile viaduct yenyu ya Express Highway haina hii design! hii umenyofoa hapa !!
Chengdu BRT station!
Kumbe nawe bado unaenda **** vichakani!!

Yakwenyu inakaa hivi!
2792620_IMG_20210530_072229.jpg



Yaani hapa mlishindwa kumbana Mchina aka-clear enough height space btn pedestrial overpass na viaduct? Mtaacha lini kwenda **** vichakani?
🤣🤣🤣🤣🤣 taratibu geza nenda nao mdogo mdogo
 
Sikuwaambia hapa 🤣🤣🤣 nilipowaambia waniletee production ya hzo gari na faida iliokua generated akaanza kutoa kamasi Nicxie
2014 to 2021 bado munaahidi ushuzi wa punda ama?? Failed project again

 
wazee wa kwenda ** vichakani saa hii wataenda ** mabarabarani!
🤣🤣🤣🤣 yani ukiangalia render na uhalisia kwanza ni mbingu na ardhi ukiangalia quality yenyewe ni vichekesho

alaf anaonesha european BRT ambayo haina hata pedestrian bridge 😂😂😂
 
Yani hawa watu wanaishi kama wanyama vile hawana huruma hawana utu kabisa
 
Duh hawa jamaa ni vituko sana
unapanga foleni hadi juu ya ngazi,,other wise mradi uwalenge watu flani,,,,,

ukigusa watu wote ikiwemo maskini wa kenya tutegemee kushuhudia vituko zaidi[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom