komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mwanza hii hii inayojulikaniwa[emoji1787][emoji1787]Mwanza ni jiji, tena mwanza ni jiji kubwa na uzuri wa mwanza bara bara ni nyingi sana za mitaa ndio kinachofanya foleni isiwepo na pia over 90% ya street za mwanza zote paved roads na pili mwanza ina over 15km 4 ways from airport to CBD, na bado kuna barabara nyingi sana zinatanuliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] toeni akili chafu kwamba ukiwa na ile overpass ya kupanga tofali juu basi ndio ushamaliza