Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nioneshe mtaa wa uswazi kama huu dar nifunge account.👇 👇 😁
View attachment 1820548
Watoe wapi???lile jiji lao si wajua ni uswazi kushoto kulia? Imagine that's just Pipeline, a place some people consider as a slum.

Compare and contrast
images(203).jpg

Screenshot_20210616-011846.png
 
Hivi huko 'ukambani' hakuna geographical name lisilohusiana na kabila? Wakenya ni wakabila mno, mnavyopaita ukambani maana yake hakuna kabila lingine wanaishi humo? Village mentality
Nyinyi ujamaa iliwafikisha wapi kimaendelo?
 
Jinsi stendi za bongo zilivyopana , mvua ya upepo ikipiga maji yanaingia hadi ndani sasa hawa wenzetu na vistendi vyao vyembamba sipati picha na kingine brt buses zitakua zinapishan vipi wakati lane yenyewe moja tuu
Umeona sasa km hujielewi mzee
 
Wacha kujidanganya ile viaduct yenyu ya Express Highway haina hii design! hii umenyofoa hapa !!
Chengdu BRT station!
Kumbe nawe bado unaenda **** vichakani!!

Yakwenyu inakaa hivi!
2792620_IMG_20210530_072229.jpg



Yaani hapa mlishindwa kumbana Mchina aka-clear enough height space btn pedestrial overpass na viaduct? Mtaacha lini kwenda **** vichakani?
Sasa tatizo analalamika bongolala mmoja mtandaoni hku watu wakijipia kila siku hapo bila bugdha yyte ile
 
Afrika bhn yn huwa hatuna hata msimamo na ndiyo maana huwa tunapoteza pesa nyingi za walipa kodi kwa upuuzi km huu, kiongozi aliyepita alipambana wahamishie shughuli za kiserikali Dodoma na alifanikiwa kwa kiasi fulani lkn huyu inaonekana haitaki Dodoma kila cku yupo Dar, kwahiyo tulikuwa tunapoteza pesa kuhamasisha watumishi wahamie Dom Mana haina mashiko tena, huu ni upuuzi sana tunafanya.
 
Back
Top Bottom