Ngoja nikupe somo brt yetu ilivyo simple,brt yetu ina vituo vikuu vi5,yan vituo zinapoanzia route na zinapoishia,kimara,ubungo,morocco,k'koo na kivukoni,ilivyo simple iwapo natokea kimara naelekea kivukoni na kimara sijaikuta gari ya kivukoni,napanda basi lolote nitakalolikuta kama la morocco au kariakoo,coz najua nitashuka magomeni au fire,pale nitapata basi inayoenda kivukoni inayotokea morocco au ubungo kwa nauli yangu ile ile,au lah naweza kupandia kivukoni nikawa labda sijapata seat,kufika fire naliona bus linalotokea k'koo kwenda kimara lina abiria wachache,naweza kushuka kwenye lile nilitoka nalo kivukoni ambalo sikupata seat nikapanda linalotokea k'koo ambalo lina seat,ninapokata tiketi ile itakua invalid nitakapotoka nje ya kituo tu,sasa hiyo ya kwenu lenye vituo vya kushukia na kupandia separate hiyo huko kwenu itakua ya kwanza kuisikia,kiukweli mnakurupuka hiyo thika road aikuwekewa future ije kuwa brt,sie wenzenu 95% ya barabara zetu toka enzi ya mkoloni tuliacha reserve ya brt na watembea kwa miguu