Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I don't see a space for lift/elevator the width of those stairs should have given space for one on wheelchair to go behind and board the elevator! As I said BRT needs at least 5 of ur highway lanes to make any sense of a mass public transport system! Mind u elevators should be connected to an overpass crossing!


E37uTP9UUBADL0P
Ukweli mchungu!!!Kwa walioelimika watalichukua na kulifanyia kazi kwa manufaa ya Wakenya na huduma iliyokusudiwa kwa watu wote.
 
Hapo hakuna mambo ya kurundikwa watu wa kwenda sehemu zote mbili km hko kwenu
Kwn nyie ni bata, mradi bado haujaisha jamaa mshaanza kulialia jamani
Wanachekesha. Wengine wao washakua experts wa brt. Ile yao unangoja basi masaa mawili ndo wanataka tuige...... ile yao ilifeli kitambo
 
Jamaa wana mbwembwe hao,imagine iko kikorido ndio ingekua stendi ya brt ya Tanzania hizo media zingekuaje sijui,but iko kunyaland wanasifia kwa uso ila moyoni wanajua kabisa kama wamejipiga middle finger
"Ili na wao waonekane wana BRT"

Huku Tanzania tukijiandaa kuanza ujenzi wa awamu ya tatu ya BRT
 
Afrika bhn yn huwa hatuna hata msimamo na ndiyo maana huwa tunapoteza pesa nyingi za walipa kodi kwa upuuzi km huu, kiongozi aliyepita alipambana wahamishie shughuli za kiserikali Dodoma na alifanikiwa kwa kiasi fulani lkn huyu inaonekana haitaki Dodoma kila cku yupo Dar, kwahiyo tulikuwa tunapoteza pesa kuhamasisha watumishi wahamie Dom Mana haina mashiko tena, huu ni upuuzi sana tunafanya.
Hata mh aliepita alikua anaishi sana DAR, Yani ni DAR -DOM
 
Back
Top Bottom