Hawa watu wasanii sana watu washapiga hela hapotuongee ukweli jamen.. hii space katikati si sawasawa na space ndani ya bus?
Hawa watu wasanii sana watu washapiga hela hapotuongee ukweli jamen.. hii space katikati si sawasawa na space ndani ya bus?
Mtaro wenye paa hata mvua ya ikinyesha hapo wote wataloa majiGoK imeona raia kila siku wanaongelea BRT ya Tz ikaona iwajengee mtaro, jamaa always ni wazee wa errors![]()
Duh hawa jamaa ni vituko sanaI don't see a space for lift/elevator the width of those stairs should have given space for one on wheelchair to go behind and board the elevator! As I said BRT needs at least 5 of ur highway lanes to make any sense of a mass public transport system! Mind u elevators should be connected to an overpass crossing!
![]()
Hivi high capacity bus ikishusha watu 30 hapo na wengibe 30 wakisubiria kupanda kutatosha kweli hapo? Halafu station in ruhusu bus Moja kupakia at a time lol!angalia height yake from ground to roof kwa ndan... afu piga mahesabu bus likiwa hapo nie.. wanapanda kwenda juu kufata bus au? if so.. maji ya mvua yataingia huko ndan ya station.. au kama wataongeza ground-base ili kuifikia bus.. height ya station itazidi kupungua... yan its very disorderly work!!
Hiyo sio brt, station yenyewe ina defeat the whole meaning ya brt imagine bus la abiria 150 likitua hapo hiyo patashika itakavyokuaTofauti ya corridor na brt station
That's what we call a failed state.Yani huwa ndege zinadondoka kwao kama sijui pipi zinaanguka kutoka juu..huwa nashangaa sana kwanini Kenya kila kukicha ndege imedondoka ..:. Ya pili majengo kuanguka alfu watakwambia wana standards ..standard zipi uchwara
😂😂😂😂😂Na si hii BRT ya Kenya imekuuma😄😄,, mlidhani hatuwezi kuwa na yetu🤪🤪oneni vile analialia huku😅😅,, station za kisasa hizi si zizi la ngo'mbe ka ile yenu😁
Yenyewe nairobi imejengwa si mchezoDonholm and Tenna
View attachment 1819906
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli kiyama kimekaribiathere are many types of liftsView attachment 1819842
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwengine anaongelea ndoto za kihayawani za nuclear plant wakat pesa ya km5 za reli wanaenda ufaransa kukopaHebu ondoa utoto Mzee. Sisi tunaongelea vitu vikubwa kama bridge across the sea. Nyie mnaongelea footbridges!!!?
Hawa walishafeli miaka mitatu iliopita sasa huu mradi unawenyewe wanakula pesa lakini akilini mwao tayar washajua hakuna kitu wanafanya 🤣🤣🤣🤣Kwahiyo viti vitakuwa nje au? Eti render inaonesha hii corridor itawekwa vitiView attachment 1819855View attachment 1819856
Ukikaidi kuvaa mask unakufa kuf kufView attachment 1819350